can an aircraft carrier like eg the NIMITZ,on its own force tanzania on her knees
...hatuta last hata dakika tano tutakuwa tumemalizwa kila kitu,tunachoweza kuwasumbua labda tuwa brainwash kina Ngabu na X-Paster wawe suicide bombers!
can an aircraft carrier like eg the NIMITZ,on its own force tanzania on her knees
you just have to convince NYANI kwamba huko aendako atakuta mabikra mia mmoja-basi mkanda atauvaa tayari kwenda kujitoa muhanga...hatuta last hata dakika tano tutakuwa tumemalizwa kila kitu,tunachoweza kuwasumbua labda tuwa brainwash kina Ngabu na X-Paster wawe suicide bombers!
nini drone,tomhawk cruise missile lilikuwa linaelekea baghdad,likawa limepotea jangwani,bahati nzuri likawaona mabedui wanachunga mbuzi,likapunguza mwendo na kuwauliza kwa kiarabu,baghdad iko wapi?kuelekezwa tu likageuza njia na kuelekea baghdad.hii kitu ikiwa usawa wa ardhi inaheshimu hata traffic lights by stopping at red lights
can an aircraft carrier like eg the NIMITZ,on its own force tanzania on her knees
hapa ndipo nionapo mawazo ya WaTanzania yanapoishia ,hivi vyuo vyote hivi vikubwa vikubwa tulivyonavyo tunashindwa kuwapa chalenji wasomi wetu kubuni mbinu za kutumia maji ya ziwa victoria na maziwa mengine yaliyotusheheni kila pembe mbali ya utaalamu wa kutumia maji ya bahari ?Lakini hoja ipo kwamba gadaffi anashauri waafrika waitenge Israel. Ila mimi kwa hili napendekeza tumpe israel miradi ya maji ziwa victoria atuletee maji na mto nile ukose maji ili waarabu nao watutambue kuwa tunajeuri.
Naona watu hawaelewi kuwa siri za ndani kabisa za kijeshi hazitolewi hovyo. Huo mkanda wa TBC ulitupa dondoo kidogo ya nguvu za jeshi letu. Kwa mara ya kwanza Watanzania wengi ndio waligundua kuwa kumbe si mchezo. Maana baada ya kuonesha vita yote ya Uganda, jinsi vikosi vilivyojigawanya mashariki, katikati na magharibu na kupiga kwa kuizunguka Uganda hadi mpakani na Sudani, ndipo walipotuonesha hali ilivyo kwenye kambi zetu. Vifaa, mizinga na mazoezi ya Karate yalionyeshwa pamoja na urushaji wa ndege za kivita pia.
Ukiutazama mkanda huo utaelewa kwa nini Nyerere alivunja jeshi miaka 45 iliyopita baada ya kutaka kupinduliwa na akaanzisha jeshi jipya alilolitunza kama mboni ya jicho lake. Pia utaelewa kwa nini 'sekta ya ulinzi' inapewa kipaumbele sana katika bajeti. Hali kadhalika utajua kwa nini tuna ushirikiano wa karibu wa kijeshi na hayo mataifa mnayoyasifia kuwa yana silaha nzito nzito za kutisha. Na ukijua yote hayo utajua kwa nini jeshi letu lipo kila sehemu kana kwamba sisi ndio Marekani ya Afrika - tupo Kongo, Darfur, Anjuan ndio tumerudi majuzi na tunajulikana hadi Afrika Magharibi, kule Biafra na pale alipokufa yule mwanamama mjeshi wetu.
companero,
hivi leo south africa aamue kupanda juu in all total warfare scenario unafikiri kikwazo cha kwanza katika black africa atakipata wapi?
Lakini bado tunashindwa kulinda EEZ yetu mpaka tunakodisha mamluki kuja kukamata wavuvi haramu !!!!
Si ndio hapo. Afu Maroketi yaliyoitwa sabasaba (Kaytusha rockets), wapalestina na Izbollah wanategeneza kwenye garage za uchochoroni. AK47, inatengenezwa na watu wasiokwenda shule Pakistani.
Akipita kushoto - Angola
Akipita katikati - Zimbabwe
Akipita kulia - Msumbiji
hao wote anawa BLITZ kama hitler alivyoifanya poland,naadhani atatoka jasho kidogo akikutana na nigeriaAkipita kushoto - Angola
Akipita katikati - Zimbabwe
Akipita kulia - Msumbiji
Basi, either kwa sababu ya ufisadi, mipango mibovu na sababu kadha wa kadha, jeshi letu siyo imara kama unavyotaka tufikirie. Jeshi haliwezi kununua helikopta za kiraia na kuwa za kivita. Hata mounted machine guns zinaizidi uzito !!Hiyo ni kwa sababu za kifisadi na uamuzi wa kutochanganya kazi ya jeshi na polisi au hujaona kinachotokea jeshi letu linapoingilia kati...
Subiri aingie madarakani Rais kama Idi Amin, Paul Kagame au Yoweri Museveni uone kama kuna mtu atakatisha hapo kwenye EEZ...
hao wote anawa BLITZ kama hitler alivyoifanya poland,naadhani atatoka jasho kidogo akikutana na nigeria
Hamna kikwazo kwa Africa Kusini in the whole of Africa, Siyo Black Africa tu. Kidogo Egypt wanaweza kupigana lakini nao watalazwa chali. Angola wana F18 lakini they are no match to SA. Tusisahau kwama SA wana teknolojia ya nyuklia kutoka miaka ya 70. Wakishindwa kabisa they might pull a Nagasaki on their enemy.
nani alikwambia amin alikuwa na vifaa,hizi ni propaganda,mbona waganda mpaka leo wanaisimulia katyusha wanasema walikuwa hawajawahi ona kitu inapiga mluzi,wakisikia mluzi tu si raia wala wanajeshi wote wanayatafuta maandaki.wewe medani za vita hujui, nigeria hawana chochote ktk mbinu vitani, labda kama unaongelea vifaa. kumbuka Idd Amin alikuwa na vifaa mara 2 yetu lakini alifulia.
Acha kuupotosha umma. Nyuklia ya Sauzi Wamarekani walihakikisha haibaki kwenye mikono ya 'weusi'. Waliyo nayo sasa hivi ni ya kutengeneza umeme tu na sio silaha za maangamizi ya halaiki. Kama huamini kasomeni hayo magazeti yenu ya vita mnayodai kuwa yanaaminika - au google hii ishu!