MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
MwanaJamii; si mzee Kawawa ni Vita ni mtoto wa wa mzee kawawa ndiye anazungumziwa hapa.
Inaelekea cv yake bungeni inawalakini.
Waliona habari kamiri endeleeni kutu habarisha.
Oh aksante sana Mchukia Fisadi kwa kuniondoa tongotongo la ubongo maana nilishapitwa mie.
Thanx bro.
Mh isijekuta ndo yale yale kaingizwa kwa vile mtoto wa........ I wish nami baba yangu angekuwa kiongozi mbona ngefaidi.... maana kama si ubunge basi japo umeneja BOT ningepata pamoja na kuwa elimu yangu ya ngumbaru.