maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 690
Sasa hao Islamic States hizo drone uzisemazo wewe wamezipata wapi...?Nimeangalia tv muda huu inaonyesha vita imepamba moto kweli kweli na Islamic state wametuma drone mbili katika uwanja wa vita na moja ikaangushwa, mpaka muda huu wameshakufa raia ishirini wasio na hatia.