The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,309
- 20,326
porojo kivipi mama weweAcha porojo wewe
porojo kivipi mama weweAcha porojo wewe
Ahsante Mkuu, sina mbwembwe za kubishana na watu wa namna yako........!!!porojo kivipi mama wewe
Isis wanatumia kivuli cha kukichanganya na raia kama human shieldNapata ukakasi sana nchi za magharibi style yao vita.. haiwezekani gaidi mmoja lakini mji mzima mnaangamiza kwa mabomu matokeo yake wanakufa watu wasio hatia...!
Iwapo lengo ni kuwaangamiza magaidi mbona wanaachiwa njia ya kupita tena? Hakika hii ni fitna inatengenezwa.
Ni njia gani hiyo...??Iwapo lengo ni kuwaangamiza magaidi mbona wanaachiwa njia ya kupita tena? Hakika hii ni fitna inatengenezwa.
Ni mtazamo wako mkuu,, ila ujue wao wanawaza mara nyingi zaidi yakoRussia atapoteza hii vita in a long run. Sioni Russia akiweza kufund budget ya kupigana hii vita muda mtefu tena ukizingatia sasa hivi ni kama vile anatengenezewa "monster" apigane na adui wengi mwisho ataingia hasara kubwa atalazimika kuondoka tu. Wait and see
Hivi nifahamishe kidogo....!!Russia leo imesogeza meli zake za kivita sita, Nyambizi moja, meli sita za kusaidia na meli mbili kutokea Ureno na Ulaya kuelekea bahari ya Mediterranean kupitia mkondo wa maji ulipo Uingereza wa English Channel.
Meli sita za jeshi la nchi za NATO na ile ya makomandoo wa Uingereza zilikuwa njiani kwenda kujaribu kuzuia msafara wa meli za Russia kama zinavyoonekana kwenye picha.
Meli kubwa ya kivita ya Russia iitwayo Admiral Kuznetsov’ na ingine ‘Pyotr Veliky’ zikiondoka katika pwani ya Norway.
Ndege za kivita za Russia zikifanya mazoezi halisi Live Fire kwenye bahari ya Norway.
Pilikapilika kwenye bahari ya Kaskazini North Sea na ile ya mkondo wa English Channel mapema leo.
Ndege mbili za kivita aina ya SU 33 zikifanya mazoezi kwenye bahari ya kaskazini mwa Norway.
Askari wa majini wa Norway wakiwa ndani ya meli yao iitwayo KNM ‘Fridtjof Nansen’ wakiangalia meli za kivita za Russia zikipita kwemye bahari yao kuelekea bahari ya Mediterranean.
Hivi nifahamishe kidogo....!!
Hizo meli Rusia zimezuiwa au..??
Zilikuwa zinaelekea wapi...??
Hizo zinapita zinaelekea bahari ya Mediterranean na kisha kuelekea Syria.
Hakuna anaeweza kuzizuia ila Uingereza , NATO na wengine wanaziangalia tu zikipita na kuhakikisha zinapita salama.
HahahabahahahahahahahahahahahahAmesemaje?
Hahahabahahahahahahahahahahahah
Umemsikia Mugabe wa Ufilipino huko alivyo ipiga Chini USA....???
Na maanisha Rodrigo Duterte.....!!!
Vp kuhusu jeshi La mardo
Huyu jamaa amekwenda China na ujumbe wa watu 200.
Wamesaini mkataba wa Dolali milioni 13.5
Amesema- "With that, in this venue, your honours, in this venue, I announce my separation from the United States,"
Akaendelea, "I have separated from them. So I will be dependent on you for all time"
Kisha akamalizia - "But do not worry. We will also help as you help us."
Msemaji wa White House bwana John Kirby amesema kwamba- Matamshi ya Durtete ni kama -"inexplicably at odds with the very close relationship" na kwamba akaendelea kusema, "We are going to be seeking an explanation of exactly what the president meant when he talked about separation from us,".
Dah!
Kuhusu jeshi la Marekani na uhusiano waoVp kuhusu jeshi La mardo
Kuhusu jeshi la Marekani na uhusiano wao