Vita kuu ya 3 ya dunia (jinsi itakavyokuwa)- Mwisho wa dunia

natamani niwe nimekufa ili nisishuhudie mateso na majuto kati yetu, maana maangamizi yatakua yakukata nashoka, naogopa.
 
natamani niwe nimekufa ili nisishuhudie mateso na majuto kati yetu, maana maangamizi yatakua yakukata nashoka, naogopa.

Mbona tayari nchi ya haiti imeshayaoonja??? Hakuna mbaya kama ilivyotokea haiti na ile sunami mbona yote ni kama hayo
 
mungu mwenyewe ndio anajua jamani kama kufa tutakufa tu tujipe moyo..
zamani nilikuwa naogopa sana nikisikia kufa,lakini sasa mmh mambo hayakimbiliki haya
 
Back
Top Bottom