Vita Kati Ya Urusi Na Georgia....!

Nina wasi wasi kuwa Saakashvilli huenda anatumiwa na Conservatives wa Marekani ku-create conflict ambayo itawatisha wamarekani na kusaidia GOP kuingia white house. Kwani ni Georgia ndio walioanzisha vita. Na kila siku wamekuwa wakiitisha press conference kuonesha kuwa Russia is another threat to free world as they call. Frequent calls btn McCain and Saakashvilli have raised a lot questions about the conflict.
 
NATO naona wako kwenye kikao wanachosema ni EMERGENCY...Na Condi keshawasili huko....Mrusi amekwisha kusaini mkataba wa kuondoka Georgia lakini kumbe ndio kwanza anaongeza majeshi na vifaru na defense missiles...Mrusi keshasema kuwa South Ossetia na Abhkazia si Georgia tena na Rice anakataliwa na wa uropa wengi kwasababu wanategemea sana mafuta ya mrusi...Mrusi ni Taifa la pili mara baada ya Saudi Arabia kwa mafuta hivi sasa hapa duniani.
Ila sijui kama Condi atatafuta coalition nyingine of willing kama ile ya Saddam.
 
Kwa kifupi Russia na ubabe wake wamechemsha, maana soon or later itabidi aanze kuworry about China, India na haya matendo yake ya SO ndio kwanza amerahisisha njia ya Georgia na Ukraine kuwa accepted kwenye NATO

Washington hawks insist that the remedy to Russia's military humiliation of Georgia is to expedite the smaller country's incorporation into NATO. After all, Moscow might think twice about attacking any nation able to trigger the Atlantic Alliance's Article 5, which obliges all member states to respond militarily to an attack on any one of them. President Bush, in fact, toured Europe last spring to stump aggressively for Georgia and Ukraine to be granted Membership Action Plans, the first step towards joining the Alliance.

Lakini ukiangalia kwa mapana kama wakiwaruhusu Georgia kuingia kwenye NATO itakuwa ni blunder maana imejionyesha jamaa hawawezi kujilinda wala kulinda raia wake ndio wataweza kulinda nchi nyingine?
GUAM (Georgia Ukraine Azerberjan and Moldova) utakuwa mwanzo mzuri wa hawa kuweza kujilinda na Russian aggression.
 
GORI, Georgia (Reuters) - Russian troops will pull back from Georgia's heartland by the end of this week, the Kremlin said on Tuesday, but NATO said it was freezing contacts with Moscow until all Russian forces were out of the country.
ADVERTISEMENT

Western powers, led by the United States, have called for an immediate withdrawal of Russian troops under a ceasefire plan that ended the two countries' short war over the rebel Georgian province of South Ossetia.

NATO ministers, meeting in emergency session in Brussels, backed this demand by suspending regular contacts with Russia. But they did not announce moves to speed up Georgian accession to the Western military alliance, as Tbilisi had hoped.

Russian Foreign Minister Sergei Lavrov told a news conference NATO's response to the conflict was biased, and accused NATO of siding with a "criminal regime" in Tbilisi
 
Mbele ya Urusi Marekani na washirika wake lazima wale kona!

Ukitaka kujua angalia hapo Syria ungekuta wameshamuua Asad
 
Kila nikikumbuka hii vita ndo napata uhalisia wa ule msemo wa "za kuambiwa changanya na za kwako". Mikhail Saakashvili aliingizwa chaka na wajina wangu bwana Bush akalianzisha. Hee kilichomkuta hadi leo akikumbuka anaweweseka. Mwamba alipelekewa moto sio wa kawaida yaani ndani ya siku nne wanaume tayari wako zao mitaa ya Tbilisi wanamalizia malizia vita. Jeshi la Georgia lilipigwa likachakaa. Ilifikia wakati raisi wa Georgia akawa kama katoroka milembe kamera zinamnasa akiwa anatafuna tai. Bush kamuingiza mwamba mkenge alivoanza kushughulikiwa kijamaa kikajitenga kama hakioni nini kinaendelea. Hili tukio, lile la Ukraine na sasa Syria inaonyesha kabisa kwenye ugomvi Mrusi akitimba mmarekani hua anakimbia ugomvi. Atakuja na sababu kibao ili asiingie kwenye battle ya moja kwa moja na hawa wanaume. Na Putin ameshawajulia hawa jamaa, wakilianzisha tu ikatishia maslahi yake hua anaingia mazima..
 
Back
Top Bottom