Vita kati ya Seif na Hamad Rashid yaibukia Manzese

Mwl alishawaambia Uzanzibar uko tu wawapo ndani ya Tanzania wakishaodnoka huko kuna Unguja na Pemba na wakigawanyika tena utasikiwa mimi M-Wawi na Mimi M-Chake hakuna cha upemba wala uunguja dhambi ya u-selfish haijawahi zaa upendo na umoja hata siku moja the devil is a liar!
Halafu mwisho wa siku watakuwa kama Somalia...!
 
Hivi ndoa ya chadema na cuf iliishiaga wapi?na je ni nani aliolewa nyie au wao?

romantic ulisema jk ataenda kumshughulikia lowassa cc
kumbe karume kashanunuliwa na lowassa....
nasikia jk kakubali kushindwa kwa lowassa
sijui wewe una latest zipi?????
 
Comments kibao... habari haionyeshi nini chanzo cha ugonvi wao, nini wanagombania, kuna kosa gani limetendeka... cha zaidi haina hata mwendelezo. kama mtoa habari amepika ili kupima hisia zetu, amefanikiwa kiasi kikubwa. tumelipuka na hasira na kumaliza yote yaliyo mioyoni mwetu...

Kimtokacho mtu kinywani ndicho kilichoujaza moyo wake!

acha uvivu wewe hii ishu ya ugomvi wao ilishaandikwa humu.
 
Sababu hasa ya ugomvi wao nini?
Halafu ni kwa nini Seif anazuia kufunguliwa kwa Tawi ilhali ni jambo la Heri kwa CUF?

Labda hamad rashid anataka kuwa makamu wa rais, sijui katiba yao inasemaje
 
Hawa wapemba vipi? Si ndio hawa hawa kila siku wanapiga makelele Zanzibar ijitenge? Wapi na wapi kufungua matawi Manzese? Si wakafungue huko Kibanda Maiti na Mchamba Wima? Maugomvi yao ya ndani wasituletee hapa! Kweli Tanganyika tamu nimeamini.

Wanataka kufungua matawi ya kuchoma makanisa bongo
 
Hapo hapatoshi, mmoja Mzanzibari na Mwingine Mpemba. Na navyoujua ubomvi wa jikoni, sasa hivi wataanza kuweka siri zao hadharani. Ila kwa kifupi Hamad Rashid Hamad anamwonea wivu mwenzie kala shavu na yeye kabakia na kazi ya kukuwadia miswada ya mume mjengoni tu, haina maslahi kama chai ya Ikulu
 
Nini sababu ya ugomvi wao? Je tawi lilifunguliwa? Nani mshindi katika sakata.
 
Hawa wapemba vipi? Si ndio hawa hawa kila siku wanapiga makelele Zanzibar ijitenge? Wapi na wapi kufungua matawi Manzese? Si wakafungue huko Kibanda Maiti na Mchamba Wima? Maugomvi yao ya ndani wasituletee hapa! Kweli Tanganyika tamu nimeamini.

Mkuu kweli umenena ma -ugomvi wao wapeleke kwao au wamuulize MUME CCM kwa nini hawa wake wenza wanagombana!!
 
Waacheni wakimalize chama CCM B ili kubaki vyama viwili Tanzania ndipo siasa itapokuwa tamu
 
kwa insi zenji kulivyo, hamad akikaza kamba anaweza akawa makamu wa tatu wa rais.....na mtatiro atakuja kutuambia kuwa hayo ni maamuzi ya wazenji..tusiyahoji.
Labda hamad rashid anataka kuwa makamu wa rais, sijui katiba yao inasemaje
 
hahaaa ataweza kukaa Pemba? Maana hata umeme wenyewe wa manati barabara za rami anasa.

Hizi pejudices hizi.....nani amekwambia umeme ni tatizo Pemba na kwa taarifa yako tangia enzi za Amani Karume na sasa Dr Shein karibia barabara kuu zote za Unguja na Pemba ni za lami....
 
Back
Top Bottom