Vita kati ya nassib na ndumbaro damas

kanda2

JF-Expert Member
Apr 22, 2007
1,318
72
uchaguzi wa tff unakaribia ambapo nafasi ya makamu wa pili wa tff inagombewa na ramadhan nassib na john ncimbi.lakini aliyegombea nafasi hiyo uchaguzi uliopita bwana damas ndumbaro amekuwa akimpiga vita nassib kwenye uchaguzi huu.ndumbaro amenunua waandishi wa magazeti mbali mbali hasa mwananchi na magazeti ya michezo ya mtanzania ili kummaliza nassib.

anachotaka ndumbaro hakijulikani.alishindwa kwenye uchaguzi vibaya sana na sasa anaogopa kushiriki kwa kupata fedhaha ya kubwagwa vibaya. Sasa anapita pembeni kummaliza nassib.

tusubiri february 28 wakati john nchimbi kivuli cha ndumbaro atakapokwaana na nassib ramadhan...
 
Back
Top Bottom