Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Ommy hajiamini kwanii asimtaje huyo dem wa Ney aliyemla, mm naona anatoa povu jiiiingi
 
how possible kijana wazazi wako wamekulea vizuri unaamua mbeleni kuchepukia dyudyu ya mwanaume mwenzio ikukamulie. Nyie vijana da!
 
Saa chache baada ya ney wa mitego kutoa hit singo yake ya ''shika adabu yako'' na moja ya mistari ya singo hiyo inamchana ommy dimpoz kwa kusema haeleweki na jogoo lake halipandi mtungi yaani mtoto chakla.

Ommy Dimpoz ameshindwa kuvumilia na kujibu mapigo. Kwa kupitia Instagram, Ommy dimpoz ameweka video ya binti mzuri na ameandika haya;



ommydimpoz Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me.

Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki.

Nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema..
Hahahaha
 
nAy mganga wake mzuri,maana naona kapokea kijiti toka kwa Chid Beenz,nilikua namkubali sana Chid kaniangusha.Nay anakuja vizuri kwa Hip hop.
 
ommy dimpoz ndio handsome pekee asiekua na kashfa za ngono haijawai kuonekana akiwa katika poz la mahaba na mwanamke tangu mwaka 2002 alipokua mbezi sec licha ya umaarufu itakua ana kibamia
 
Kwa hii vita navyo ona mm lazma Nchi za Magharibi sisitize kutuma misaada na kutuwekea vikwazo !!
 
Back
Top Bottom