Vita Kali ndani ya CHADEMA

mtoto anayekulaumu haelewi.. CCM huwa hawajibu hoja, wao huleta vioja.. na kama ni mlango huo ndio wameufungua.. wajue in war, every thing is fair game.. sasa tukubali hilo na tuanze mchezo huo mchafu tuangalie.. maisha binafsi ya viongozi. Ndio maana, bado nasimamia principle yangu ya mwanzo. Personal issues sijali sana unless zinahusu criminal activity. Kama hao CCM wanaamini kuwa Dr. Slaa ameshiriki katika mauaji mbona hawajamfungulia mashtaka, kama yeye ni fuska mkubwa, watuoneshe basi mafuska wadogo pale Dodoma, hoja hizi ni za kitoto.

Mambo ya binafsi tunawaachia binafsi, niliyeakataa kwa Amina, niliyekataa kwa Zitto, na ninayakataa kwa kiongozi mwingine yoyote, siyo kwa vile hatujui details za maisha yao na mambo ambayo wameyafanya lakini kwa sababu hatutaki kuingia mtego huo.

Mimi kwa hili sina la kuchangia, ila ninachosema ni kuwa "wewe ukidhania unajua hili, wenzio wanajua lile".. na mkuki utakapogeuzwa kwa binadamu tutaambiwa "nendeni mahakamani!" au "waambieni Takukuru"..
 
Kada fikisha ujumbe huu:

This time around sisi wadanganyika tumeamua kwamba spinning za CCM hazitafanya kazi. we are tired of this crap kutoka kwa watu ambao wameishiwa sera na upeo wa kuelewa. Siasa za kutishwa na kuogofya zimepitwa na wakati. Maisha binafsi ya Slaa hayatuhusu watanzania, sisi kinachotuhusu ni raslimali zetu. viongozi wa CCM wamefanya madudu mangapi? ingekuwa kuta za vyumba zinaongea sijui kama kuna mtu angeweza kumnyoshea kidole Slaa. Sikatai na yeye kama mwanadamu ana mapungufu yake, lakini mimi naangalia hoja zake. Na ninaamini kabisa Zitto and Mbowe has nothing to do with this crap, ni spinning za watu mnaolipwa na kupewa viofa vya kutembea kwenye ndege ya Raisi mnakosa kazi na kushinda mnaandika emails za kijinga hivi. Hivi nyinyi mnajisikiaje mnavyotafuna nchi at the expense of millions of helpless citizens? Ambao possibility ya kuona jua la kesho ni ndogo? CCM haina tofauti na tajiri anayeweka chakula kwenye friji mpaka kikaoza wakati watumishi wake wanakufa kwa njaa.

Unajua personally nilimpigia kampeni na kumpa kula yangu JK, lakini nimegundua I WAS TOO BRAINWASHED FOR TOO LOOONG and this CCM thing! Na I promise, CCM so far mmeshapoteza mpiga kura mmoja (utakavyoitafsiri ni wewe).

By the way people should know, hapa wengine hatuna vyama ila tunatetea nchi yetu TANZANIA and whoever is best suited to help us accomplish this goal, basi huyo ndo mzalendo, so far Dr Slaa is one!

Yaani mi sijui, kila siku inavyozidi kupita najikuta namchukia rais wangu automatically! Why? Tanzania tumefanya nini kustahili huu ujinga wa watu wachache? Ipo siku na hiyo siku inakuja, tena hivi karibuni.
 
hakuna dalili yoyote ya mgogoro huko chadema...kwanza CHADEMA ni kati ya vyama ambavyo vina ustaarabu wa kubadilishana uongozi kistaarabu...
 
tatizo langu sio kuona nini mabaya ccm wanayofanya, no ! tatizo ni pale watu wanaposema kitu basi mnaamka moja kwa moja na kusema ccm is responsible ! hapo ndipo ninaposema huo ni upuuzi tena sio wa reja reja bali ni wa hali ya juu ! juzi juzi tu hapo, ze comedy wamemwaga yao watu wakakurupuka na kusema ccm hao, sasa nawaulizeni mnadhani ccm inawaogopa wapinzani ? kama hawawaogopi mnadhani wao wangeshindwa kutumia viongozi wao kufikisha huo ujumbe ?

yaani hapa hapa kushakuwa na DA, sheriff, na majudge, ! haya basi endeleeni kutoa hukumu isiyokuwa na felonies !
 
hivi ni wapi vile katika hiyo makala or whatever inasema ni ccm ndio wameandika ? kama hamna, then shut your computers people ! acheni kuongea vitu msivyoweka kuproove. endeleeni na kampeni zenu kuipaka mavi ccm !

kuhusu list ya mafisadi ( slaa akiwemo namba 12 ) nakubaliana nayo, lakini mnapata wapi hii mentality ya mtu anapokosoa wapinzani mnamuita ccm ?? sielewi bado hii kitu !
 
Nimecheka sana, maana muda mfupi uliopita Kingunge na Khatibu walijibu TUHUMA kwa CCM na Serikali yake, kijumla jumla, kama sasa wapenzi na wataalamu wa JF walivyojibu hizi tuhuma kwa Slaa kirahisi rahisi tu..

Nikacheka kwa sababu nilidhani kila principle watu wanayo-claim inafanya kazi, itakuwa inafanya kazi kwa vyama vyote, viongozi wote bila ubaguzi,,, kumbe zinafanyaka kwa CCM na Serikali yake tu!!!

Dr. Slaa anatakiwa kama kiongozi wa Umma tena aliyekuwa wa Dini, ajibu tuhuma hizo, regardless ni personal or what,

Ajibu alafu baada ya hapo aseme hata hivyo ni za kitoto or whatever...

Tunaomba hoja ijibiwe kwa hoja,,, TUHUMA hizo ni nzito na wakuweza kudhibitisha za kweli au sio ni Dr. Slaa mwenyewe au watu wa karibu yake...

Za Serikali tulitaka Serikali na viongozi wake tulitaka wajibu wenyewe, Za Dr. Slaa wanaJF ndio mnajibu...

Haya Mabadiliko ya Fikra hayana mwelekeo,,, tutaishia huko huko!!!
 
Mtanzania wa leo si yule wa miaka ya sabini,hakuna mtu yeyote anayeweza kukubaliana na tuhuma zinazo mhusu mtu binafsi,{private issues}hata viongozi waliopo madarakani wanayo manyanga mengi ambayo wamekuwa wakiyafanya,ili mradi tu hayana madhara kwenye jamii.Dr slaa kuwa fuska hakuwezi kusababisha Hospitali kukosa dawa,au kumfanya mtanzania kukosa maisha bora.mbona clinton alikuwa anakung'uta lakini nchi inaendelea.kinachomsikitisha mtanzania ni kuona viongozi kama akina kalamavi,bilauli,nk. wanasaini mikataba mibovu,nakulisababishia taifa hasara kubwa,ufisadi wa kutisha,
lakini masuala ya slaa kamvua mtu chupi,kazaa na nanii,ni uzushi na utumbo,havina nafasi tena kwa mtanzania wa leo mwenye uchu wa kujenga taifa na kuleta maendeleo.
 
basi watu walivyokuwa wajinga, washaanza kumuita mtoto wa mkulima ccm ! yaani watu wengine haki ya nani they never think ! mtu akisema kitu fulani against na opposition parties basi huyo definitely ccm ! wtf ?.. get over it people. binafsi sikuwa na chama chochote lakini kwa kuwa hapa forum kulikuwa na bias on one side, yaani wapinzani ( wakiongozwa na chadema ) kukazania ccm (ambao wapo madarakani ) huku wakiongelewa wao wanakataa, pindi nikisema kitu against wao wakaanza kusema mie ccm, so they made me ccm since that day and i guess i am ccm from their perspective ! wow ! what a great idea !

Ni kheri kuwa mjinga kuliko kuwa ******** kama wewe,naomba upitie comments za watu vizuri,soma uzielewe,si unarukaruka tu kama bata anayetaka kutaga.Unamaanisha nini kusema hivi
" watu walivyokuwa wajinga, washaanza kumuita mtoto wa mkulima ccm ! yaani watu wengine haki ya nani they never think !"

Wewe unajiona unajua sana kufikiri,kweli wewe ni kichaka.
 
Nimecheka sana, maana muda mfupi uliopita Kingunge na Khatibu walijibu TUHUMA kwa CCM na Serikali yake, kijumla jumla, kama sasa wapenzi na wataalamu wa JF walivyojibu hizi tuhuma kwa Slaa kirahisi rahisi tu..

Nikacheka kwa sababu nilidhani kila principle watu wanayo-claim inafanya kazi, itakuwa inafanya kazi kwa sehemu vyama vyote, viongozi wote bila ubaguzi,,, kumbe zinafanyaka kwa CCM na Serikali yake tu!!!

Dr. Slaa anatakiwa kama kiongozi wa Umma tena aliyekuwa wa Dini, ajibu tuhuma hizo, regardless ni personal or what,

Ajibu alafu baada ya hapo aseme hata hivyo ni za kitoto or whatever...

Tunaomba hoja ijibiwe kwa hoja,,, TUHUMA hizo ni nzito na wakuweza kudhibitisha za kweli au sio ni Dr. Slaa mwenyewe au watu wa karibu yake...

Za Serikali tulitaka Serikali na viongozi wake tulitaka wajibu wenyewe, Za Dr. Slaa wanaJF ndio mnajibu...

Haya Mabadiliko ya Fikra hayana mwelekeo,,, tutaishia huko huko!!!

Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwi Kwi kwi kwi kwiiiii hahahahahhahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaa!

WAKUU LEO NIMECHEKA SANA MAANA SIJAWAHI KULETA POSTY HAPA IKAPATA WACHANGIAJI WENGI NA KWA KASI YA KUTISHA KAMA HII. NAKUMBUKA KUNA MCHANGIAJI ALIWAHI KULALAMIKA HAPA KUWA KILA AKILETA MADA WATU HAWACHANGII! DUH SINA MBAVU HAKIKA INGEKUWA MADA KAMA ZINAZOLETWA HAPA ZA MAMBO YA UCHUMI NA NYINGINE AMBAZO WANACHANGIA WATU WACHACHE KAMA KICHUJUU, ES NA MKANDARA BASI TUNGEKUWA TUNATISHA SANA. POWA WAKUU ENDELEENI KUKATA ISSUE.
:rolleyes:
 
Tuhuma.. huo uswahili sasa, tuhuma za mtu alilala kitanda gani na alijifunika shuka na nani ni tuhuma za kitoto.. kati ya hizo zote hapo ni tuhuma mbili tu ambazo CCM au yeyote yule anaweza kuzitoa hadharani na Dr. Slaa akatakiwa ajibu kwani ni za msingi.. lakini ati "alikimbia bila nguo watu wakamstiri" au "yeye ni fuska mkubwa"... nimekataa hayo na ninaendelea kukataa.. hivyo chagueni ni tuhuma gani kati ya hizo ambazo zinastahili kujibiwa, maana tukisema azungumzie mambo ya chumbani kwake au kitandani kwake itabidi tutumie kipimo hiko hiko kupima watu wengine.. sidhani kama mko tayari kwa hilo!!
 
Mtanzania wa leo si yule wa miaka ya sabini,hakuna mtu yeyote anayeweza kukubaliana na tuhuma zinazo mhusu mtu binafsi,{private issues}hata viongozi waliopo madarakani wanayo manyanga mengi ambayo wamekuwa wakiyafanya,ili mradi tu hayana madhara kwenye jamii.Dr slaa kuwa fuska hakuwezi kusababisha Hospitali kukosa dawa,au kumfanya mtanzania kukosa maisha bora.mbona clinton alikuwa anakung'uta lakini nchi inaendelea.kinachomsikitisha mtanzania ni kuona viongozi kama akina kalamavi,bilauli,nk. wanasaini mikataba mibovu,nakulisababishia taifa hasara kubwa,ufisadi wa kutisha,
lakini masuala ya slaa kamvua mtu chupi,kazaa na nanii,ni uzushi na utumbo,havina nafasi tena kwa mtanzania wa leo mwenye uchu wa kujenga taifa na kuleta maendeleo.

1.Kweli kaka, lakini ajibu mwenyewe wewe nani? wewe ni Katibu Mutasi/mwenezi wake? Hivi si ninyi mlizaja JF kuwajadili akina marehemu na Suzy,,, seuse huyo kiongozi mtukuka wa Chama kitakatifu... waliosikiliza hotuba za nyerere kipindi hiki cha maadhimisho ya kifo chacke aligusia ufuska,,, at mpaka wa kunyang'anya watu wake zao?

2.TUHUMA za kula fedha za walemavu nazo ni personal,


3.Waleteni wajibu wenyewe, acheni unazi hapa,,, hamuisaini nchi,,, inaonyesha mnapenda madaraka kama CCM tu,,, nilidhani ninyi wazuri lakini naanza kuwa na masharaka..,
 
Mwandishi wa hii email si angemtafuta jamaa alieandika ile email ya BOT amwandikie vizuri...naona jamaa amefanya kupachika pachika tu tuhuma...Oh well inaonekana kila mtu yuko kwenye payroll ya Usalama wa Taifa(Mrema, Lamwai,Marando, Mtikila sasa Slaa) inaonekana Slaa alichemsha Tradecraft 101 kama aliuziwa info za kughushi ama hajui jinsi ya kutafuta raw intel. Mwaka huu tutashuudia na kusikia mengi.
 
sasa kudhani unaweza kudhani lolote, jenga hoja badala ya kutoa kejeli... na hakuna mtu anayemjibia mtu mmeweka hadharani na ni public forum na wote tuna haki sawa ya kuchangia, kama mlitaka yeye ajibu binafsi mngempigia simu na kumuandikia.. lakini mmeweka hapa, so its fair game
 
Kufiliska kisiasa ndiko huku, msituletee stori zingine zisizokuwa na maana kwa nchi yetu na maisha yetu. Mnataka kutuambia hayo maisha ya Slaa yanatuhusu nini na hao hawara zake!

Slaa karuka dirishani, Kaoa ujerumani, hajajenga kwao, alikuwa usalama wa taifa wakaacha kumlipa, kafumaniwa na mke wake. You are trying to mention these to us, is non sense and stupid. Haitusaidii.

Hizi ni njama za kutaka kuwaondoa wananchi kwenye mjadala moto wa kuangalia mslahi ya nchi na kupelekwa kwenye petty issues ambazo hazitusaidii.

Hawa waliotuma hii mail wamefiliska kisiasa, na naamini watakuwa ni walewale wana MTANDAO wanaojaribu kupunguza hasira za watanzania.

Slaa amekuwa bungeni for 10 yrs now, kwanini hawajayasema wasubiri alete issue sensitive ndo walete haya. Wasubiri agombee urais ndo watuletee ujinga wao.

JF, KUWENI MAKINI NA MTANDAO NA WASANII WALIOFILISKA KISIASA WAKITAFUTA MASLAHI YAO. WATAKANDAMIZA JITIHADA ZOTE ZINAZOJARIBU KUINUKA KUZUIA MASLAHI YAO.

SLAA ENDELEEA!!11
 
hivi ni wapi vile katika hiyo makala or whatever inasema ni ccm ndio wameandika ? kama hamna, then shut your computers people ! acheni kuongea vitu msivyoweka kuproove. endeleeni na kampeni zenu kuipaka mavi ccm !

kuhusu list ya mafisadi ( slaa akiwemo namba 12 ) nakubaliana nayo, lakini mnapata wapi hii mentality ya mtu anapokosoa wapinzani mnamuita ccm ?? sielewi bado hii kitu !

Tumegundua wewe unajaza threads bure hapa kila siku,huna hoja unarukaruka tu,hutulii kwenye point,unatoa vikashfa vya ajabu ajabu tu,kuna wakati nilikuonya,lakini naona hukuelewa somo.Usijifanye kuwa wewe ni nunda sana kiasi kwamba hutaki kusikia ya watu,nimejaribu kufuatilia comments zako,naona mara nyingi nia yako ni kuchafua na kufunga threads za maana.Huna hoja,nawatahadhalisha watu hapa,wewe ni mwiba wa demokrasia,upo hapa kuchekesha tu kama Kingwendu,karudi kwenye sanaa Bagamoyo maana hayo maboksi unayobeba yanakupeleka pabaya.
 
Wazungu wana kanuni moja wanayoiita DIVIDE AND RULE. Wanataka kujaribu kuanzisha chokochoko ili waondoe umoja miongoni mwa upinzani na Chadema yenyewe. Hizi hadithi naamini zitayeyuka tu kwani Mgawanyiko huu unaotengenezwa na Wabaya wao hauwezi kufanikiwa.
 
waungwana, nadhani hapa hakuna anayesema kwamba Dr Slaa si fuska au la. Kuna mambo ambyo unayajua hata bila kufundishwa darasani. Haiwezekani mtu aulize kwa nini kiongozi kasaini mkataba wa kijinga harafu ndo aanze kuandamwa. Tumeona Salim alivyoitwa Hizbu baada ya kutaka kiti cha enzi, uzalendo wake ukawa matatani akina Ulimwengu nk. Kuwa mpenzi wa CCM au Chadema au PONA NADHANI NI HAKI YA MTU, alkini hiyo haki lazima iheshimu haki za wengine kutokuwa ndani ya vyama hivyo..

CCM TUNAIANDAMA NA KUILAANI KWA SABABU NDO IMESHIKIRIA USUKANI NA SISI NDO TILIIPA RIDHAA. sasa kama haifanyi mambo ambayo tuliituma ikafanye unategemea nini? I dont HATE CCM just because ni CCM nachukia wanayotufanyia sisi wananchi. hakuna anayeipaka mavi kama jamaa anavyosema, ukweli ni kwamba ndo inajipaka huo uchafu. Najua kwa mtu ambaye hakupanga msitari kupiga kura na yuko ulaya kwa kodi zetu lazima aitetee CCM kwa sababu kikitokea chochote atakuwa hana karo au mdingi anaweza kufa kwa presha.

So far maisha binafsi ya viongozi mimi hayanihusu awe JK, EL, or whoever, kinachonihusu ni hizi raslimali zetu wanazogawiana kama shamba la marehemu bibi. This is my problem and the buck stops with CCM. aikiingia Chadema au CUF basi macho yangu nitayaelekeza huko si CCM tena!
 
What a shame?? CCM wanaamua kuleta commedy na utenzi badala ya kujibu hoja!!! They are s****t. Hela ya walemavu ya halmashauri ama hata kama ni nchi zima ni shs ngapi, hata kama kweli alichukua, thats petty compared to messes done in various contract na ufisadi tunaoendelea kuukemea. Mnatuletea upuuzi wa two sht on my bed/ you waitress,i want two folks. Tujibuni hoja za mikataba ya madini,(kiwira - buzw - kabwe especially), TTCL/Celtel, ukarabati wa ukuta wa ikuru na nyumba ya waziri mkuu, ununuzi wa pres - jet, Rich - fieces, and so on.

Propoganda zenu zinazoattack personal life zitaendelea kuwaso geza kaburini. Kaburi lilishachimbwa muda wa CCM kuzikwa ndo kwanza unaelekea.

jibuni hoja acheni vioja!!!!!!!!!!!
 
Je hizi tuhuma zidi ya Dr Slaa zinachukulia kwamba viongozi wengine wa siasa za hapa Tanzania ni wasafi?
Unless ufuska na uoza wa viongozi wengine unawekwa hadharani, mimi binafsi nitazipuuza kwa nguvu zote hizi tuhuma.
Caution:
1. Hii itakuwa mwanzo wa CHADEMA kuparaganyika, na demokrasia ya vyama vingi kurudi nyuma na kuwa na umri wa mwaka mmoja!
2. Hatimaye upinzani utaipata fresh!
3. VERY LIKEY kuna mkono wa CCM hapa.
 
Back
Top Bottom