Vita Kali ndani ya CHADEMA

Hawana jipya hawa. Kuna hoja milioni za kujibu na bado hawajajibu halafu leo wanatuletea ngonjera zao.
 
Hawana jipya hawa. Kuna hoja milioni za kujibu na bado hawajajibu halafu leo wanatuletea ngonjerara zao.

wakati mwingine inachekesha kuona response ya ccm! of all things za kuzomewa na wananchi, kuanikwa wazi, nk.... wao wanakuja na hili na kutishia kuwa kuna more to come!

Hii ni sababu nyingine niko proud kutokuwa mwanaccm na msemaji wa mafisadi. unaweza kudoubt hata viwango vyao vya elimu na kufikiri.... teh teh teh teh teh
 
Kanda wa Upinzani do you real think kwamba Dr.Slaa alitoa hutuma za Nchi kuliwa hadharani akiwa na nia ya kupata madaraka ?Unaamini kwamba anautaka Uraisi na njia ya kuupata ni hii ? I think tha guy is sincere kwa kila jambo lake .Zitto yuko hapa na wako akina Mnyika watatueleza. Zitto ni Naibu Katibu Mkuu means working closely na Slaa so he migh have more to tell .Lakini hizi tuhuma ziko hapa tu mbona wasiende in Public domain na kusema kama wana uhakika nayo ? Nadhani Kanda you can do better like this . Hivi una furahia Nchi kuliwa na jamaa zako na Slaa kusema unaanza kulta ushabiki wa kisiasa ?Shame on you CCM guys .Nadhani hapa wengi wanaongelea Utaifa na si vyama . Hapendwi mtu ila issue na maslahi ya Taifa hili .
 
Wewe BUBU ATAKA KUSEMA. Nenda Karatu na Hanang kaulize hizi habari ndipo utajua hakuna njama yoyote ya CCM. Ni uchafu wake Slaa. Vipi mbona imekuuma?

waoooo inaonekana unahabari sana za huyo shoga alotajwa hapo...... na pia hadi umetembelea Hanang... nhuuu... hii ina maana kuwa wewe ni........
 
--------------------------------------------------------------------------------

Wewe BUBU ATAKA KUSEMA. Nenda Karatu na Hanang kaulize hizi habari ndipo utajua hakuna njama yoyote ya CCM. Ni uchafu wake Slaa. Vipi mbona imekuuma?

Huu ni upuuzi mtupu, tujadili mustakabali wa taifa letu, hizi siasa za kuchafuana tuzifanye ndani ya sisim huku mtaani mtaaibika kwani watu wako makini.

ndugu yangu selemani, ukifika karatu ndio utajua kwanini Slaa anapendwa, anawatumikia watu wake na matokeo yake yanaonekana, huduma za jamii zimeshamiri karatu.....

Hoja hujibia kwa hoja
Dr Slaa hakuzungumzia maisha binafi ya mafisidi, bali ameongelea jinsi mafisadi walivyotumia madaraka yao kuuhujumu uchumi, ameweka vielelezo vya jinsi pesa ilivyoibiwa na nani wamehusika.

Hivyo vivyo kama Slaa alishafanya ufisadi simtetetei, wekeni wazi ubadhirifu wake, ili tuwashughulikie mafisadi wote wa upanzani na watawala
 
Kanda wa Upinzani do you real think kwamba Dr.Slaa alitoa hutuma za Nchi kuliwa hadharani akiwa na nia ya kupata madaraka ?Unaamini kwamba anautaka Uraisi na njia ya kuupata ni hii ? I think tha guy is sincere kwa kila jambo lake .Zitto yuko hapa na wako akina Mnyika watatueleza. Zitto ni Naibu Katibu Mkuu means working closely na Slaa so he migh have more to tell .Lakini hizi tuhuma ziko hapa tu mbona wasiende in Public domain na kusema kama wana uhakika nayo ? Nadhani Kanda you can do better like this . Hivi una furahia Nchi kuliwa na jamaa zako na Slaa kusema unaanza kulta ushabiki wa kisiasa ?Shame on you CCM guys .Nadhani hapa wengi wanaongelea Utaifa na si vyama . Hapendwi mtu ila issue na maslahi ya Taifa hili .

Murangira acha walete udaku.... wakitaka hii topic iwe ya udaku wataupata udaku maana hapa JF kuna forum pia ya udaku kwa hiyo hii itaendelea na wapenda udaku wataendelea nayo....

Kimewaumiza sana kuona leo JF imeweka muziki wa Richmonduli kwa hiyo wako desperate kubadili mwelekeo... kazi wanayo na JF ni kumkoma nyani giladi mchanaaaaaa.... udaku utajadiliwa kama udaku na wanaJF wataendelea kupata miziki wa Buzwagi na Richmonduli kama kawaida.... hapa hapa JF
 
Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa.

Karibu viongozi wengi ni mafuska...

Dr. SLAA anasumbuliwa na 爽gonjwa mkubwa・ Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa 組onjwa moja hatari sana ・

Mh kuwa ana ngoma au? ...kifafa?
Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo
this is nonsense..
badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa ni shoga.
kwa hiyo inawezekana Dr. Slaa ni shoga pia?

To me this message is tooo cheap!! na imejaa chuki binafsi.

Kama tukianza kuwachambua viongozi wetu kwa stahili hii hakuna atakayesalimika kuanzia ufuska, kuhonga et al.
Wengi tunafahamu nini huwa kinaendelea bungeni...
wengi tunafahamu viongozi/watu wengi hawajengi makwao kwa imani/sababu tofauti...
 
Wabongo,

Nikiwa mwanachama wa CCM, ninaamini hizi habari kama ni kweli au si kweli, HAZINA mantiki yoyote.

Kwanza ni za kiuchonganishi.

Pili ni Binafsi

Tatu zimetolewa baada ya yeye kuanika UFISADI hadharani kwahiyo itaoneka ni za uzushi tu.

Mwandishi amekosa namna ya kuwa pata hadhira wake, amekuwa too personal.

Kama mwandishi yumo humu anitafute hata kwenye PM nimwandikie upya, hasa kwa lengo la kuivuruga Chadema na sio Dr SLAA.
 
Afadhali mkuu umegundua kuwa hawa jamaa hawajui kutunga uongo ili kuivurunga kambi ya upinzani,naona wakutafute uwape nondo.
Ila kwa sasa mtanzania anajali maslahi na siyo chama.Hizi ni alama za mwisho za ccm,someni kwa makini signature yangu ipo simple lakini imebeba uumbe mkubwa sana.
 
what i predicted is coming true, it didnt take years or days for my prediction to come true, it took minutes !

KadaMpinzani = the greatest foreteller of all times.

we expect more ! sidhani kama ccm ina reputation ya kuchonganisha watu so count ccm out !
 
mmmeiona? maana kunawatu wengine vichwa maji sana. Wakiambiwa hii tumeipata kwa e mail wanafikiria sisi ni washabiki wa sisiem. Someni post zangu zote muone msimamo wangu wa kisiasa uko wapi. Jamani watu wananilaumu lakini mwanzo nilisema nii nimeipata kwa e mail mnataka BUBU mnataka source gani? Kwani nyie hamjawahi kupokea e mail za forward? Kwanza hata issue ya Balali na BOT mimi niliipata kwa njoa ya email.
 
Kada,

You know that God is omniscient. That is the only person I believe. No more, no less.

Great ! keep up the good work ! Nakuomba kamwe usione binadamu hakosei hasa pale inapobainika kwamba amekosa ! kwani slaa ni nani mpaka asikosee !
 
mmmeiona? maana kunawatu wengine vichwa maji sana. Wakiambiwa hii tumeipata kwa e mail wanafikiria sisi ni washabiki wa sisiem. Someni post zangu zote muone msimamo wangu wa kisiasa uko wapi. Jamani watu wananilaumu lakini mwanzo nilisema nii nimeipata kwa e mail mnataka BUBU mnataka source gani? Kwani nyie hamjawahi kupokea e mail za forward? Kwanza hata issue ya Balali na BOT mimi niliipata kwa njoa ya email.

babu naona sasa umeanika privacy za watu pamoja na hizo email zao, watu kama wanabisha acha wabishe lakini meseji sent babakee, watu watachonga sana mwaka huu !

wanadhani watakuwa kwenye limelight wao tu miaka yao, wamepewa waonje limelight kwa miezi kadhaa basi wanataka wakomae hapo hapo !

kama kuna email nyingine wee tuma bana achana na watu, kusema ndio kawaida !

kazi na dawa mkuu !
 
mmmeiona? maana kunawatu wengine vichwa maji sana. Wakiambiwa hii tumeipata kwa e mail wanafikiria sisi ni washabiki wa sisiem. Someni post zangu zote muone msimamo wangu wa kisiasa uko wapi. Jamani watu wananilaumu lakini mwanzo nilisema nii nimeipata kwa e mail mnataka BUBU mnataka source gani? Kwani nyie hamjawahi kupokea e mail za forward? Kwanza hata issue ya Balali na BOT mimi niliipata kwa njoa ya email.

Msimalaumu Mtoto wa mkulima jamani,yeye katuletea hili jambo hausiki na chochote kile.Msimamo wake ni tofauti na kile kilichoandikwa humu.
 
watu hapa wanataka asubuhi, mchana na jioni zijae threads za bot, muungwana, ccm, ra, el, nchimbi, mafisadi, na vinginevyo, SAWA HATUPINGI ! LAKINI inakuwaje zinapokuja thread kama hizi watu mnachonga sana ? yaani hamuoni tu forum ilivyo bias kwa kubase upande mmoja ? sina maana ya kusema mengi wakuu, lakini hapa kila mtu ana akili timamu hivyo nadhani mtaelewa !

just take this issue lightly and you'll overcome it people ! ilikuja thread ya mbowe kutafuna pesa, ikanisababisha nifungiwe, sasa imekuja hii tena naona longlongo kibaoooooo. vipi wanachama ?

tukateni ishu, wapinzani ipo siku watashika madarakani ( angalau sio hivi karibuni ) hivyo lazima tuanze kuwaangalia mafisadi wa ccm na wa upinzani vile vile, lakini watu wameng'ang'ania ccm weee utafikiri ccm watatawala milele ! damn.... people.

kama tunadhani ipo siku wapinzani watashika madaraka ( which they have alreadystarted ) basi sioni baya lolote kuwazungumzia, lakini kama mtaongelea ccm tu peke yake, thats not fair ! ndio maana ya kuwa politician, acha watu wakujadili binafsi na sera zako, kama hamtaki tuwaongelee hawa watu nashauri they need a career change au vyama vya upinzani vibadirishwe vile vilabu vya soka !
 
duh... naona mmechelewa kidogo hii ilikuwa hapa tangu jana.. nenda kwenye mada ile ya Eid Mubarak.. . poleni.
 
Msimalaumu Mtoto wa mkulima jamani,yeye katuletea hili jambo hausiki na chochote kile.Msimamo wake ni tofauti na kile kilichoandikwa humu.

Mkuu Nashukuru sana kwa uelewa wako. unajua uelewa wa watu nitofauti mimi ningekuwa nimeandika hii kitu wala sina haja ya kujificha maana hakuna nitakachofanywa ila mimi niliipata hii nikaileta hapa ili watu waone yanayoendele. Nauhakika kama huyo aliyetunga haya anaweza kuwa anatembelea JF na mimi nilijua reaction ya JF ndio maana nikaileta. Okay wakuu endeleeni kupingana kwa hoja.
 
Msimalaumu Mtoto wa mkulima jamani,yeye katuletea hili jambo hausiki na chochote kile.Msimamo wake ni tofauti na kile kilichoandikwa humu.

basi watu walivyokuwa wajinga, washaanza kumuita mtoto wa mkulima ccm ! yaani watu wengine haki ya nani they never think ! mtu akisema kitu fulani against na opposition parties basi huyo definitely ccm ! wtf ?.. get over it people. binafsi sikuwa na chama chochote lakini kwa kuwa hapa forum kulikuwa na bias on one side, yaani wapinzani ( wakiongozwa na chadema ) kukazania ccm (ambao wapo madarakani ) huku wakiongelewa wao wanakataa, pindi nikisema kitu against wao wakaanza kusema mie ccm, so they made me ccm since that day and i guess i am ccm from their perspective ! wow ! what a great idea !
 
This is non sense, it's a common tactict that CCM used for may years to fight anyone that rise. This happened during Mrema's era. It is not something new. This case is easy to prove, just bring facts to the public.

CCM are smart and they are appelling to wakina mama and religious people with this kind of strategy. I said before that Dr slaa need a political analyst who will study things and advice him what to do. I hope he will not come on the media and fight with maneno, he need to stick on facts.

Mbowe does not have enough credentials za kuwa mbunge, how in the world he wanna be a president? Upinzani need to set strategy and plan to win PM at least 45%. If they will spend alot of money on presidential race they will be stupid, because there is small chance that they will win 2010. If upinzani will win Bunge then we as wananchi will have the power to change Katiba, all this non sense contracts will be ended, we will vote concern government spending bills, and many other.

However, during presidential race upinzania have to come with new face, some one who is educated, good resume, motivated and easy to sell. If they will choose any of this, Mboye, lipumba, Mrema they will loose.
 
Back
Top Bottom