VITA CCM vs UDSM

CCM ni adui no moja wa elimu ya juu,serikali hi legelege na dhaifu kazi yake kubwa ni kuwagandamiza wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwanyima haki zao za msingi,ila mwisho wa CCM umefika.

Siyo adui wa elimu tu bali ni adui wa maendeleo ya Taifa hili la Tanzania
 
Kwa mtu yeyote hata mwenye uelewa wa chini sana,elimu yako ikizidi sana ni form four,kama uligraduate basi wewe iq yako ni ya mwisho kabisa,ujumbe wako umefichua upumbavu wako!

Umemwambia ukweli kabisa maana tu kwa hii post yake utamjua alivyo
 
umetumwa wewe,kawaambie waliokutuma nimewakuta jamaa wako macho.kama ni udsm tumepita hata sisi tena tulikuwa radical kweli kweli,lakini hoja uliyojenga wewe imekaa kinafiki mno.hakuna cha ccm wala baba yake na nani,tatizo ma dent wa ud starehe kwa sana af wanasahau walikotoka.apo ukiona wanagoma ujue hawajasoma na UE zimekaribia,hadanganyiki mtu apa.acha wachapwe wakue

kweli magamba utawatambua kwa maneno yao na hata matendo yao. Hivi ww kati yako na mkeo nani anamwongoza mwenzake? Kama ni wewe basi hapo hakuna familia
 
hojatete nakuheshim sana,nimeipenda sana hii haa jamaaa Nyama kweli,,haana jipya kabisa,wotewamechoka,UE zikikaribia wanaanaanza matatizo oo imekua vile imepanda,imeshuka wote wapuuzi tuu,

Mgomo si walianza tangia mwaka jana kwani nayo ue ilikuwa imekaribia?
 
Kwa mtu aliyefanikiwa kuhitimu chuo kikuu kukubali kutumiwa na nape, tena hapa JF kwa malipo ya buku mbili kwa siku ni hasara kwa familia yake na Taifa.

Unacheza na maisha ya mtaani nini, mtu amezoea boom likiingia maisha fresh akirudi mtaani hakuna boom kazima atakubali tu hata kwa jero
 
Back
Top Bottom