Vita Baridi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi?
 
aibu tupu. Tulisema hatufangamani na upande wowote. Mabepari walitunyima misaada na hata wajamaa wakatunyima misada.
Misada waliyotupa ni ile ya kutufanya tuendelee kuishi tu.
 
Back
Top Bottom