Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Nataka kujua how to code Log in Interface kwa user mbalimbali lets say 50.
Yaani ile window ya User Name______________
Password_______________
Nimejaribu kujipa ka assigment hii kitu nimeweza
Ok sasa huu unaweza kuwa ushauri mzuri na clear zaidi kuliko ule nilitoa mwanzo wa mwanzo. Utahitaji effort na knowledege ndogo tu ya VB ambyo hata mm nimeisahau siku nyingi .
Microsoft wana sample code ya VB na form za kuloign Download details: Visual Basic .NET Code Sample: Create a Login Dialog Box
Kama una Visual Studio ambayo ndani yaki pia ina VB ukidowload hiyo code na kuiifunga Hope utafanikiwa within masaa machache
NB:
Tatizo nililoona ni kwamba solution hii wao wamehifadhi login na password katika XML file na sio kwenye database. Unaweza kuanza kwa solution hiyo ikifanya kazi then unaweza ku replace XML file ili logins zihifadhiwe kiusalama zaidi kwenye database( SQL,ACESS) ambayo italink na VB