Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,056
- 1,598
bora muungano uvunjike idadi ya maisilamu ipungue
A silent fool is counted wise! just a piece of advice
bora muungano uvunjike idadi ya maisilamu ipungue
Haaaa haaaa! Kama mnawapenda Wakristo "sana" kwa nini unawasingizia kuwa waliasisi Muungano huku ukijua ndani ya nafsi yako si kweli? Ukijadili hoja kijinga utapata majibu yanayoendana na ujinga wako!kakojoe ww kwanza kwa chuki zako juu ya uislam, hata hivyo ndugu zako waislam twakupenda sana.. hatuna chuki na nyie msietupendag
ok nimekubaliana na hoja yako kwa kuwa unanilazimsha. hebu nambie tanganyika inafaidika nn na muungano huu?Haaaa haaaa! Kama mnawapenda Wakristo "sana" kwa nini unawasingizia kuwa waliasisi Muungano huku ukijua ndani ya nafsi yako si kweli? Ukijadili hoja kijinga utapata majibu yanayoendana na ujinga wako!
Zanzibar bila Muungano ni sawa na Somalia (Unguja) na Somaliland (Pemba)! Mnafikiri Dubai ni wanywa kahawa kama nyinyi? Pole sana Baiskeli, ulivyo short sighted, kwani kule Mirembe umeruhusiwa tangu lini?kafika dodoma kwa sababu ya hila zenu, fika zenj fanya karesearch kadogo ndo utajua kama mungano unatakiwa au la. zanzibar bila tanganyika ni dubai.. na hilo mwalijua tatizo roho mbaya dhidi ya uislaam. kama vipi si uvunjike kwa nn mwaunganganiaaaaaa
Inakuwa na usalama dhidi ya magaidi! Hatutaki Al Shabaab, Al Qaeda, etc waje kujifanyia makao mlangoni kwetu! After all tulivyoungana Zanzibar ilishakufa kisheria kama nchi, sasa mjadala wa kuvunja nchi unafikiri ni jambo la kuchezea hapa JF? Njia ya Kisheria ya kuvunja Muungano SI KULALAMIKA bali ni kupeleka hoja Bungeni, then ipigiwe kura na pande zote mbili (theluthi mbili kwa theluthi mbili), then Muungano utakapovunjika kwa amani! Kinyume cha hapo ni uhaini!ok nimekubaliana na hoja yako kwa kuwa unanilazimsha. hebu nambie tanganyika inafaidika nn na muungano huu?
Mbona kwenye hotuba yake alidai kuwa kuna watu wanafikiri kujitenga "kwa sababu ya ulevi wa madaraka!" Je, hao watu aliwaweka ndani? Vitu vingine unaropoka tu ndugu!
ungekuwa unajua lengo la muungano ni nn usingelopoka.. muungano ulitengenezwa na nyinyi wakristo kuupitia chama chenu cha magamba kuubana uislaam. kama si hivyo si muuvunje?? kwa nn mwaunganganiaaa? na enyi wenu waislaam mnaotetea muungano kwa kupewa pesa na tuvyeo siku zenu zahesabika.
All right, siasa za 1984 si za sasa, ndio maana Nyerere alivunjiwa Azimio lake la Arusha alibaki kuongea tu na hakufanya chochote kulazimisha liwepo! In the same vein Nyerere asingeweza kuwafanyia lolote wapinzani wa Muungano hata kama hawapendi kiasi gani! After all alishaondoka madarakani, kwa hiyo kufikiri kwamba angefanya lolote la kuwaweka kwenye "house arrest" wakati hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kilicho chini yake ni uwongo mkubwa!Labda wewe unajua vizuri historia ya huko nyuma, Mwinyi alipokea uraisi wa Zanzibar toka kwa Abood Jumbe kupitia uchaguzi au nini? Na aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Abood Jumbe nini kilimtokea na kwa sababu gani?
kafika dodoma kwa sababu ya hila zenu, fika zenj fanya karesearch kadogo ndo utajua kama mungano unatakiwa au la. zanzibar bila tanganyika ni dubai.. na hilo mwalijua tatizo roho mbaya dhidi ya uislaam. kama vipi si uvunjike kwa nn mwaunganganiaaaaaa
Hawa hawana tofauti na wanamagamba wasiokuwa na upendo na nchi yetu! Wao wanafikiri wakiwabagua wenzao basi mvua ya dhahabu itanyesha na watakuwa matajiri soon!Nyote wawili, Baiskeli na Humphnicky ni EXTREMISTS hamfai katika ustawi wa jamii isiyo na matabaka ya rangi, kabila wala dini. Nyote wawili ni wa-kuogopwa na kukemewa, leteni hoja zenye mantiki na si kupanda mbegu za UDINI; your comments are outrageously disgusting, aaarrrrgggghhhhhhh!!!!
Kama wameshindwa hata kulipia umeme hiyo ndoto ya ki-Dubai inatoka wapi?Hivi vyie kwa akili zetu mnafikiri bara kuna anayeutaka muungano? Wizara ya mambo ya ndani sio chombo cha Muungano lakini amewekwa Nahodha nyie mna roho hiyo? Serikali ya Mapinduzi ipo ina bajeti yake, inawataalam wake wa uchumi. Ni lini serikali yenu ilifanya magaeuzi ya kiuchumi bara ikakataa? Sisi wenzenu tuna madini, tuna vyanzo vya maji, tuna ardhi kubwa ajabu, tunamito, tuna reli, tuna mbuga za wanyama, tunamilima mirefu maarufu duniani, tuna makampuni makubwa ya uwekezaji, tuna maziwa makubwa, tunaviwanda vya kila aina, tuna makaa ya mawe, tuna idadi kubwa ya wasomi n.k nyie mna nini zaidi ya karafuu? hizo ndiyo mnategemea ziwabadilishe muwe kama dubai? NDOOOOOOOOOOTO!!!!
Mbona mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984 yanaitaja Zanzibar kuwa ni nchi? Na kama hawataki Muungano kwa nini wanafanya kazi za kuajiriwa kwenye Wizara na Idara zisizo za Muungano? Je, Bungeni huwa wanatoka nje ya Bunge kunapokuwa na mjadala wa Wizara isiyo ya Muungano? Au Wazanzibari wanapodai kwamba "hatutaki Muungano" huwa wanamaanisha nini hasa?
Mbona mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984 yanaitaja Zanzibar kuwa ni nchi? Na kama hawataki Muungano kwa nini wanafanya kazi za kuajiriwa kwenye Wizara na Idara zisizo za Muungano? Je, Bungeni huwa wanatoka nje ya Bunge kunapokuwa na mjadala wa Wizara isiyo ya Muungano? Au Wazanzibari wanapodai kwamba "hatutaki Muungano" huwa wanamaanisha nini hasa?
Yule mbunge aliyetoa wazo la kuvunja Muungano aanze kwa kukataa Posho then atoke mjengoni pia ieleweke kuwa Muungano haujawahi kuzuia Zanzibar isifanye mambo ya maendeleo jamani? Mbona hivyoooo! Hata sisi watu wa bara tumechoka ni heshima tu ya mwalimu Nyerere ndiyo inayofanya hii kitu iwepo! ndiyo maana hata CUF na CCM walipofanya muafaka hakuna mtu wa bara aliyehoji maana hiyo ni nchi nyingine na serikali nyingine! sijajua tatizo la watu wa Zanzibar kuwa ni nini. Siri ya mafanikio ni kujituma, fanyeni kazi jamani. hata sisi tumechoka tunashindwa jinsi ya kuanza!!!!!
We mwongo,kwenye hotuba yake alimaanisha inaweza ikatokea watu kama hao, na hata kama alimaanisha unavotaka wewe-unajua ilikuwa ni mwaka gani? je alikuwa bado rais? tumia akili na fanya utafiti kabla hujaropoka.Mbona kwenye hotuba yake alidai kuwa kuna watu wanafikiri kujitenga "kwa sababu ya ulevi wa madaraka!" Je, hao watu aliwaweka ndani? Vitu vingine unaropoka tu ndugu!