Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,831
Hahaha, ni wajibu kujaribu taste zingine........ kila siku bata mzinga tuu.Lazima wasiwe waaminifu, baba pipa na mama gunia.
Wapenzi wao wa nje wembamba kama toothpick
Hahaha, ni wajibu kujaribu taste zingine........ kila siku bata mzinga tuu.
kwa hiyo ndio maana ukaona bora ule mishikaki ya paka?Hahaha, ni wajibu kujaribu taste zingine........ kila siku bata mzinga tuu.
Tupo wangapi?
Madamex nimeupenda mchango wako, ngoja nikatafute draft.Hahaha, ni wajibu kujaribu taste zingine........ kila siku bata mzinga tuu.
Wenye viriba tumbo