Visa na mkasa maisha ya vyuo vikuu, usipime

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Naomba Kila aliwahi kutembelea au kusoma au mwanafunzi wa vyuo vikuu achangie alichokumbana nacho ili tuyapime na tuuangalie wasomi wetu wanaishi maisha gani:

i)UDSM.
Nilipotembelea Chuo kikuu pale, nilikuatana na moja ya kero kubwa hasa ya uchafu vyooni.
computing department.ukiingia maji mpaka nyayoni. maji machafu yenye kila harufu ya uchafu. sikuona tofauti kati ya choo cha wauza mitumba manzese na choo cha wasomi

2)IFM
a)Nilipowahi kutembelea hivi karibuni, vyoo vinanuka, maji adimu huko, wanafunzi wanajisaidia kwenye mifuko. lkn ukipishana nao utadhani wanatoka ulaya sasa hivi.
b)sehemu ya kulia hapo usiseme utakuta watu wanakula vikutani wakiwa wamesima.meza unazihesabu.
c)Siku moja maajbu ya mwaka niliyaona. kijana mmoja amemwangusha mama mtu mzima hapungui 60 kwa kugombania kiti. mama anataka kukaa msomi yaani jikakaka likakivuta kwa nyuma. duhu watu wote walipigwa na butwaa. lkn jikaka ambae ni wazi mwanafunzii amevingania viti eti chake, rafiki yake na mpenzi wake walipo darasani. tatizo viti kidogo
d)Usipite karibu ya madirisha, mara utakuta miba ya samaki na chembe za wali zimetapakaa kichwani. yaani wasomi wanachungulia dirishani na kukmwagia maji mpita njia
UTAKUTA TANGAZO LIMEANDIKWA. USIMWAGE MADIRISHANI KWANI WEWE NI MSOMI UWE MFANO KWA JAMII. LKN WAPI? MAJI YANAZIDI KUMWAGWA NA WASOMI WETU HAWA.

NYONGEZA
 
hivi UDSM wanashindwa kuajiri mtu wa kusafisha hivi vyoo na umlipa hata elfu 20,000 au 10,000 kwa siku?? pesa watu wanayolipa ya ada inaenda wapi? kwenye mishahara tu? hta majengo yenyewe hayajui harugfu ya rangi OMG!!
 
4 ril me ni mwana udsm,pale suala la usafi hasa main cumpus halizngatiwi kabsa,bora mabibo kidogo wanajtahd...nilitembelea sua cku 1,dah!sua pako poa sana...naona wanazngatia sana usafi..
 
Udom ndo usiseme pananuka ile mbaya! Nilitembelea Saut main campus Mwanza kwa mbali wanajitahidi japo accommodation for most dents ni off campus!
 
Vyuo vya private vina ahueni kubwa sana. Niliwaikutembelea Makumira, kwa kweli nilifurahi sana. Usafi kwenye hostel zao ni wa hali ya juu. Vijana pale hadi maji moto wanayo. Wengine wangeiga ingependeza!
 
Back
Top Bottom