Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Leo asubuhi Voice of America ilitangaza kwamba Israel, Pengine kwa kushirikiana na Marekani imefanikiwa kupandikiza virusi kwenye kompyuta zinazotumiwa na Irani kuendeleza mpango wake wa nuklia, na kwamba virusi hivyo vimeutibua mpango huo, kiasi cha kuurudisha nyuma kwa takribani miaka isiopungua mitano.