Viruses area!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu naomba kujulishwa nje ya komputa je vifaa kama radio na deki huwa vinashambuliwa na virus au?
 
Wakuu naulizia vifaa ambavyo vinaweza sumbuliwa na virus je ni computer na simu pekee au?
 
Any electronic device ambayo ndani yake kuna programs zimekuwa installed for that device to work zinaweza kuwa infected maana all viruses are just programms to affect the functioning of other programs ..simply..
 
Wakuu naulizia vifaa ambavyo vinaweza sumbuliwa na virus je ni computer na simu pekee au?
Idadi ya vifaa vinavyoweza kushambuliwa na virus inaongezeka kwa kasi kubwa!
Sababu ni kuendelea kwa Computer kujimegamega na kuzama ndani ya vifaa vingi tunavyotumia ili kuviongezea uwezo vifaa hivyo.
Mfano ni hiyo simu inawekewa computer ndani ili ifanye mambo mengi zaidi ya kupigia na kupokelea ujumbe wa sauti.

Vitu vingine kama Magari, Ndege, Matrekta mafriji, TV, Camera, nk vinaingiziwa Computer ili kuviboresha matokeo yake na virus vinaingia vilevile!

Kwa wenzetu Virus wanaweza kusimamisha shughuli zote za kimaisha! ndio sababu wako makini sana navyo
 
any self executing programmable device inaeza kua affected na virus, hata virus na yenyewe ni program kama zlivyo hizo program zngine ambayo inaifanya iyo mashine iweze ku run. so so long as kuna program ndani nya kifaa then inaeza kula virus kama kawaida.
 
Back
Top Bottom