viroja:Huyu mkulima yumo kweli?mbunge shambani

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
hivi jembe linashika hivi jamani ..nadani hakuna ambaye hajawahi kulima especially kama ulipitia st government school
DSCF8095.JPG
hapa tunaibiwa live
2.JPG
mbunge wa Ludewa
 

Attachments

  • DSCF8095.JPG
    DSCF8095.JPG
    377.8 KB · Views: 52
kuna st government schools ambazo hakuna kilimo kabisa, i can witness for that.
ila pozi lenyewe linalipa kiasi chake, hehehe :poa:poa:lol:
 
Huyu mbunge siku za hivi karibuni anatafuta publicity kwa nguvu; sijui amesikia serikali inabadilishwa hivi karibuni nae anaona ajaribu bahati yake kwa mkweree hivyo anajitahidi kuuza sura!!
 
Inategemea na definition yako ya mjini. Nadhani ilitegemea na hali ya hewa, kuna sehemu mvua ina-beep tu

kama wapi Dododma? ukiona st goverment hawana hata bustani za mboga za majani ujue ni uzembe wa ma head master wao.
 
hawa ni wauza sura tuu..! tena hua wananiboa kweli wanapokua wanasema eti..! jamaniiii mimi nilitembea kilometa sita kwenda shuleee...! wakati hata jembe mtu hajui kushika asee hawa mimi huwa wananikera kweli kweli..!
 
Viongozi wa sasa ni wezi na wahuni tupu. Wewe huwezi kwenda shamba na pamba kali namna hiyo! Si bora angevaa gambuti na tisheti.
 
hao ni wezi tu jamaa angu..! halafu wakiwa kwenye majukwaa ni usanii tu..! wanajifanya hali ya mtanzania wa chini inamuuma kweli kumbe ni mbwe mbwe tu za kuwateka ndugu zetu na mwisho wa siku kuwaibia...! yani jamaaa angu mimi ninakereka kweli na mijitu kama hiii...!
 
Back
Top Bottom