Virefu vya PM and MMU

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.
 
pm - private mail
mmu - mahusiano, mapenzi na Urafiki.

...nijuavyo mie mbu.
 
PM = Penda Mwenyewe
Nadhani umeshawahi kusikia "sasa dia ngoja nikuPM"
Hapa anamaanisha akakupenda mwenyewe

MMU = Mambo Mazito Uvunguni
 
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.

mi nilikuwa najua ila nimesahau. Wadau tujuzeni jamani.
 
Join Date: 20 june 2008. Lakini kuuliza sio ujinga
Nadhani umepata jibu hapo mwanzo kabisa ndugu
 
Back
Top Bottom