Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako!

Pascal nashukuru kwa ufafanuzi. Naomba niweke sawa mambo, nilitaja jina la Hawa Ghasia kama waziri mwenye dhamana wizara ya Utumishi. Pia naomba niwe wazi, I DO NOT BELIEVE IN THE CONCEPT OF NON-PROFIT. It is a farce, big time, hasa Bongo.

If PPR is some sort of a non-profit then that raises more questions.Yaani hawa watanzania watagharamia production costs for nothing? Like Mother Theresa? Ndugu usije kutumbukiza JF kwenye zogo la kumpigia mtu debe? Hapa tunaona wadau wakiwapigia wapambe wao upatu kupitia signature zao.
FJM, PPR sio non profit, ni production house hizo kazi zote inazofanya inalipwa. Na inafanya kazi kwa client yoyote kama alivyo dereva taxi hawezi kuchagua abiria wake.

Hebu hii hoja tuiweke hivi,

Pascal Mayalla ni dereva taxi inaitwa PPR, taxi inapaki kituo cha Mwenge, na kila siku taxi hiyo inakodiwa kwenda mjini kupitia Bagamoyo Rd kuwapeleka wateja mjini na kurudi ikiwa tupu. Kila siku inaporudi, humuona Mkuu Maxi, akitembea kwa miguu kurudi Mwenge, na nipomuuliza Maxi kwa nini anatembea kwa miguu, akaniambia ni kwa sababu daladala zinajaa sana, hivyo anapoteza muda mrefu kugoja dala dala na amegundua, akitembea, anafika mapema, na pia amajikuta anafanya mazoezi kuji keep fit na zoezi la kutembea.

Ndipo mimi nampa offer Max, kwa vile taxi yangu hurudi tupu muda ule ule Max anapotoka, nampa offer ya kumpa lift, free of charge, kumuwahisha Mwenge, hivyo kuokoa ule muda atakaoutumia kutembea, na kama ni mazoezi, basi atapata muda wa kuingia kabisa gym. Max ana uhuru wa kukuikubali hiyo lift, ama kuikataa kwa vile ameshazoea kufanya mazoezi, ama anaweza kuikataa hiyo offer kwa vile wapanda taxi wengine wanalipia, hivyo isije kuwa bure ni mwanzo tuu baadae akadaiwa. Au ameshazoea akitembea, anakuwa huru kupita pale kwa Mwajuma na Fatuma, sasa akipata lifti, kutamnyima uhuru wake, hivyo anaamua kuikataa hiyo offer hata kama ni bure.

PPR inaandaa vipindi vya wateja na inalipwa, nimeamua kuamndaa baadhi ya vipindi vya bure, sio lazima vya jf. Lakini kwa vile humu jf kuna michangu mizuri sana ya baadhi ya members ikiwafikia wengi zaidi italeta maana zaidi ya humu jf, ndio maana nimeomba mawazo yenu, jee tutoke nje ya jf, au tuendelee kujifungia humu humu jf. Kama hiyo lift ya PPR ita compromise uhuru wa jf, tutaiambia tuu hiyo PPR, asante kwa offer yako, endelea na fafari yako tuachie jf yetu kama ilivyo, then nitaendelea na program zangu without jf imput.

Naomba kusisitiza, nimeitoa hii offer in good faith, kama ni kupandisha vipindi, with, or without jf imput, program itapanda, nikiweka jf imput program itakuwa bora zaidi kwa diversed ideas toka ma great thinkers wa humu jf, nikiikosa jf input, program inaruka na watu wa mtaani, japo haitakuwa juu, ila mimi itakuwa nimetimiza wajibu wangu wa kuwatumikia Watanzania.
 
...Paschal Mayalla...hili si jina geni kwenye tasnia ya habari...ulikuwa wapi siku za nyuma kuja na idea kama hii??...Natumia simu kwa sasa japo inanionyesha wewe ni senior member...but kwa wazo lako inaonekana u know much about JF!?Kuwa wazi...I'd yako ya zamani iweke wazi kwanza tupitie posts na thread zako tu judge nini kimekusukuma kuja na wazo hili...otherwise watu wawe care...isije kuwa TISS kazini...kwani utatumia chombo kipi cha habari(TV/RADIO)...funguka mkuu...mengine yatafuata.
 
Samahani kwa kuchelewa kutoa maoni haya.LAkini nasema hivi chonde chonde tusiruhusu pascal akafanya mchezo huo, kwani ni mnazi mkubwa wa CCM.Nimekuwa nikimfuatilia mara nyingi kwenye vile vipindi vyake.Hana la maana zaidi ya kusifia Rais na CCM hata kama hutasema moja kwa moja.Siungi mkono hoja yake.Chunguzeni vizuri mtakuta kuwa katumwa ili kuua jukwaa hili lisilo na upendeleo wa hoja.JF itarudi kama gazeti au tv ambayo habari inahaririwa kwanza kabla ya kutoka.SIungi mkono wana JF
Ngalikivembu, kwa hiyo jf ni ya manazi wa Chadema?, hivyo nikiwa mnazi wa CCM, nitaiingiza jf chaka?!. Suppose ni kweli mimi ni mnazi wa CCM, hivyo there is nothing good I can do for jf?.

Kusema ukweli from the bottom of my heart, mimi sio mnazi wa CCM, sio mwanachama CCM na sio mwanachama wa chama chochote cha siasa kama utabahatika kuwafahamu wa TBC ilipokuwa TVT, watafute waliofanya kazi na mimi, uwaulize Pascal Mayalla kilimkuta nini hapo TBC, utaweza kunielewa kidogo. Kama wakati wa Kiti Moto wewe ulikuwa mkubwa kujua kuweza kutazama TV zaidi ya Katuni, then utakuwa unajua Pascal Mayalla ni mtu wa aina gani.

Pamoja na kutokuwa mnazi wa CCM, sina chuki na CCM, na wala sio mshabiki wa Chadema, japo ni rafiki na Zitto, sio mshabiki wa CUF japo Jussa ni rafiki. Kama mwandishi, nitakwenda CCM na kuongea na Nape, Mkuma etc, Nimesha kwenda CUF na nimezungumza sana Mtatiro, nimesha kwenda Chadema na mimezungumza sana na Dr. Slaa. Sam Ruhuza wa NCCR ni mate wangu Tambaza. Hivyo mimi ni mtu ninaye enjoy freedom yangu na nikiamua kuingia active politics, naweza kujiunga chama Chochote kuanzia CCM, Chadema, CUF, NCCR, TLP, UDP au hata CCK, mwamuzi ni mimi. Fuatilia hizi talk show mpya ninazopanga kuanzisha, halafu uutafute huo unazi wangu toka ndani ya program hizi.

Angalizo, nawaombeni sana wana jf, tujifunze political tolarance, kwa members ambao sio wanazi wa vyama vyenu, ndio maana tumewapoteza member muhimu kama Nape, Dr. Kigwa, Zitto, Mnyika, hata kina Dr. Slaa humu huja kwa msimu sana, kutokana na huu ****** mtu asipokuwa chama chako, basi huyo sio mwenzako!.

Mada ya Managing Divesity, inakuwa ni moja ya mada kwenye program zangu zijazo.
 
...Paschal Mayalla...hili si jina geni kwenye tasnia ya habari...ulikuwa wapi siku za nyuma kuja na idea kama hii??...Natumia simu kwa sasa japo inanionyesha wewe ni senior member...but kwa wazo lako inaonekana u know much about JF!?Kuwa wazi...I'd yako ya zamani iweke wazi kwanza tupitie posts na thread zako tu judge nini kimekusukuma kuja na wazo hili...otherwise watu wawe care...isije kuwa TISS kazini...kwani utatumia chombo kipi cha habari(TV/RADIO)...funguka mkuu...mengine yatafuata.
Ng'wana Sweke, we live for today, yesterday's gone, tomorrow is too far!. Soma tarehe yangu ya kujiunga, 2009 mpaka 2012 ni miaka minne!. Nenda google click Pascal Mayalla, kila kitu kuhusu mimi kitakuja zikiwemo makala nilizowahi kuandika.

Wazo sio jipya, nilishapanga siku nyingi, nitaingiza talk show kwenye TV ila nimeamua kuibeba na jf, ila hata bila jf, talk show yangu itapanda. Nimeandika kuomba free airtime kule nitakokubaliwa, nitawajulisha.
 
Pascal, thanks for the literure but rest assured I know a thing or two about Non-Profit organisation. Maelezo yako ni too basic and one may find a bit patronising! Sorry

Back to the main topic.Nadhani challenge iliyopo ni assurance kwa wana JF kuhusu potential loss of freedom and anonymity.

FJM, PPR sio non profit, ni production house hizo kazi zote inazofanya inalipwa. Na inafanya kazi kwa client yoyote kama alivyo dereva taxi hawezi kuchagua abiria wake.

Hebu hii hoja tuiweke hivi,

Pascal Mayalla ni dereva taxi inaitwa PPR, taxi inapaki kituo cha Mwenge, na kila siku taxi hiyo inakodiwa kwenda mjini kupitia Bagamoyo Rd kuwapeleka wateja mjini na kurudi ikiwa tupu. Kila siku inaporudi, humuona Mkuu Maxi, akitembea kwa miguu kurudi Mwenge, na nipomuuliza Maxi kwa nini anatembea kwa miguu, akaniambia ni kwa sababu daladala zinajaa sana, hivyo anapoteza muda mrefu kugoja dala dala na amegundua, akitembea, anafika mapema, na pia amajikuta anafanya mazoezi kuji keep fit na zoezi la kutembea.

Ndipo mimi nampa offer Max, kwa vile taxi yangu hurudi tupu muda ule ule Max anapotoka, nampa offer ya kumpa lift, free of charge, kumuwahisha Mwenge, hivyo kuokoa ule muda atakaoutumia kutembea, na kama ni mazoezi, basi atapata muda wa kuingia kabisa gym. Max ana uhuru wa kukuikubali hiyo lift, ama kuikataa kwa vile ameshazoea kufanya mazoezi, ama anaweza kuikataa hiyo offer kwa vile wapanda taxi wengine wanalipia, hivyo isije kuwa bure ni mwanzo tuu baadae akadaiwa. Au ameshazoea akitembea, anakuwa huru kupita pale kwa Mwajuma na Fatuma, sasa akipata lifti, kutamnyima uhuru wake, hivyo anaamua kuikataa hiyo offer hata kama ni bure.

PPR inaandaa vipindi vya wateja na inalipwa, nimeamua kuamndaa baadhi ya vipindi vya bure, sio lazima vya jf. Lakini kwa vile humu jf kuna michangu mizuri sana ya baadhi ya members ikiwafikia wengi zaidi italeta maana zaidi ya humu jf, ndio maana nimeomba mawazo yenu, jee tutoke nje ya jf, au tuendelee kujifungia humu humu jf. Kama hiyo lift ya PPR ita compromise uhuru wa jf, tutaiambia tuu hiyo PPR, asante kwa offer yako, endelea na fafari yako tuachie jf yetu kama ilivyo, then nitaendelea na program zangu without jf imput.

Naomba kusisitiza, nimeitoa hii offer in good faith, kama ni kupandisha vipindi, with, or without jf imput, program itapanda, nikiweka jf imput program itakuwa bora zaidi kwa diversed ideas toka ma great thinkers wa humu jf, nikiikosa jf input, program inaruka na watu wa mtaani, japo haitakuwa juu, ila mimi itakuwa nimetimiza wajibu wangu wa kuwatumikia Watanzania.
 
Wachangiaji wengi wanashindwa kujua kuwa huyu Pascal Mayalla ni mtu mmoja na Pasco ni mtu mwingine tofauti kabisa!!!!!

Sasa sijui shida ni kushindwa kutofautisha ID au shida ni jambo gani!
 
Kama unataka uhuru wa kutosha nashauri uombe airtime Citizen tv ya kenya uwe unatuma recorded programme na tukajadili yote mpaka siasa! Sikuhizi mpaka mawilayani watu wanatumia Cable tv hivyo utapata watu wengi zaidi then utakirudisha kwenye local stations kikishakuwa maarufu sana! Tuipeleke JF kama ilivyo kwenye Tv! Pale Citizen utakuwa huru kabisa! Maoni yangu mengine naya reserve kwa muda ila ni lengo zuri!
MTAZAMO, sina haja ya kwenda Citizen kupata uhuru zaidi, ukiritimba wa kupitishia matangazo kwenye vituo vya TV yoyote unaisha rasmi tarehe 31/12/2012, saa.5.59, kuanzia tarehe 01/01/2013, Tanzania inaswitch off analogy na kuhamia digital, hivyo nami nitanunua masafa yangu ya Digital, ukifika muda husika hizo tv, TBC, ITV, etc, etc, zitajoin channel yangu na kunilipa!. Hata jf, inaweza kwenda hewani na JF TV!.

Kwa vile watazamaji wangu kwa sasa ni hawa wananchi kuanzia Itonjanda mpaka wa Tandahimba, acha tututmie hizi za bure, zikija za kulipia, nanunua channel yangu, no censorship huko ndio tutamwaga kila kitu!.
 
Pascal, thanks for the literure but rest assured I know a thing or two about Non-Profit organisation. Maelezo yako ni too basic and one may find a bit patronising! Sorry

Back to the main topic.Nadhani challenge iliyopo ni assurance kwa wana JF kuhusu potential loss of freedom and anonymity.
, PPR makes money, japo ni tujisent. PPR makes some programs for money and PPR makes some other programs for free!. Hicho kipindi cha talk show ni bure!.

Ila hii hoja yako ya assurance kwa wana JF kuhusu potential loss of freedom and anonymity ni challenge ya ukweli na iko very valid. Hapa tiunatakiwa kurudi tena kule kwenye misingi ya jf, and what is it standing for.

Mimi nilifikiri sisi tunaotembelea jf, ni wachache wenye bahati ya kuwa na access to mtandao, lakini lengo ni hoja za humu jf, ziwafikie watu wengi as much as posible. Kama unadhani kwenye program yangu nikisema FJM kasema serikali ya Tanzania imeoza kwa rushwa, nitakuwa ndio nimetoa siri ya huyu FJM ni nani hivyo nitakuwa ama nime kuexpose wewe FGM kwa hiyo kuingilia uhuru wako kuchangia humu jf, then nitakubaliana na wote wenye mtazama kama wako, jf ibaki kama ilivyo to maintain its curenty status quo, its fine with me. Kipindi changu bado kitapanda, with or without jf imput, only nitazimisi poits za ma great thinkers wetu ila nitawatumia zaidi wananchi wa kawaida kwenye "vox pop".
 
wanajf ni great thinkers,wanajua kwamba paxco ni sawa na passcal

Hata huyo Pasco mnashindwa kumwelewa tu... Mnamwona kama pro magamba wakati anachofanya ni kutumia njia / mbinu nyingine tofauti na hiyo ya kawaida mnayoitumia nyie kupambana vita hiyohiyo mnayopigana nyie...

Na kashajibainisha yeye mwenyewe,muulize wafanyakazi aliokuwa nao TBC,wawaeleze alikuwa ni mtu wa aina gani..

Halafu watu wanashindwa kujua jambo moja kwamba.. Vyama vya upinzani hasa kura za urais Chadema ilijizolea kura kutoka kwa wana-CCM,za CDM tupu,zisingetosha kiasi kile..
 
Wachangiaji wengi wanashindwa kujua kuwa huyu Pascal Mayalla ni mtu mmoja na Pasco ni mtu mwingine tofauti kabisa!!!!!

Sasa sijui shida ni kushindwa kutofautisha ID au shida ni jambo gani!
Huo utakuwa ni uoga wao tuu,
  • Hivi unaamini yule waziri handsome boy wa miaka ile ambaye alikuwa hapitwi na kila sketi iliyopita mbele, anafanana sana na yule mpangaji ile nyumba yetu pale magogoni?, mbaona sketi hata haziangalii?!.
  • Hivi unaamini kuna padri mmoja mkuu sana mpaka alifikia ngazi ya katibu wa baraza la maaskofu na alibakiza daraja moja tuu awe askofu, sasa hivi ni mwanasiasa mashuhuri sana ana ameanza kujenga familia na ndiye atakayepangishwa pale magogoni 2015?!.
  • Hivi unaamini DJ mmoja maarufu sana enzi hizo akipiga disco hotelini kwa baba yake, totos kwa kwenda mbele, sasa ni kiongozi wa chama kikubwa sana cha upinzani nchi fulani ambacho kinatarajiwa kukichoropoa chama kongwe kwenye utawala wa nchi fulani?.
Nasisitiza Mimi ndie Pascal Mayalla wa ukweli, huyo Pasco ni memba tuu wa jf, kama walivyo members wengine ambao ni vuvuli tuu, a copy, watu wamezidi kuogopa vivuli, mimi ndiye mwenyewe halisi, nimekuja na hoja ya msingi, tujadiulini hoja iliyo mbele yetu, tuipinge kwa hoja kwa hoja kama afanyavyo FJN na sio kuogopa kivuli cha Pasco wa jf nyuma ya Pascal Mayalla mwenyewe!.
 
TIQO, ni kweli sio kila michango itatumika ni baadhi tuu, ila hiyo ambayo haitatumika haina maana imeminywa, itakuwa haukuchaliwa tuu. Kwa uzoefu wangu humu Jukwaani hoja nyingi kali na moto ni hoja za kisiasa zaidi, program yangu sio ya siasa ni ya issues za kiutendaji zaidi kwa maslahi ya taifa.

Utakuwa unatumia media ipi ktk kusoma?
 
Huo utakuwa ni uoga wao tuu,
  • Hivi unaamini yule waziri handsome boy wa miaka ile ambaye alikuwa hapitwi na kila sketi iliyopita mbele, anafanana sana na yule mpangaji ile nyumba yetu pale magogoni?, mbaona sketi hata haziangalii?!.
  • Hivi unaamini kuna padri mmoja mkuu sana mpaka alifikia ngazi ya katibu wa baraza la maaskofu na alibakiza daraja moja tuu awe askofu, sasa hivi ni mwanasiasa mashuhuri sana ana ameanza kujenga familia na ndiye atakayepangishwa pale magogoni 2015?!.
  • Hivi unaamini DJ mmoja maarufu sana enzi hizo akipiga disco hotelini kwa baba yake, totos kwa kwenda mbele, sasa ni kiongozi wa chama kikubwa sana cha upinzani nchi fulani ambacho kinatarajiwa kukichoropoa chama kongwe kwenye utawala wa nchi fulani?.
Nasisitiza Mimi ndie Pascal Mayalla wa ukweli, huyo Pasco ni memba tuu wa jf, kama walivyo members wengine ambao ni vuvuli tuu, a copy, watu wamezidi kuogopa vivuli, mimi ndiye mwenyewe halisi, nimekuja na hoja ya msingi, tujadiulini hoja iliyo mbele yetu, tuipinge kwa hoja kwa hoja kama afanyavyo FJN na sio kuogopa kivuli cha Pasco wa jf nyuma ya Pascal Mayalla mwenyewe!.

Mi napata shida na wanaojadili watu...badala ya kujadili hoja zao walizozileta...

Napata nao saaana shida...!
 
pasco,i really apreciate the idea.hongera

kwanza kabisa ningetoa wazo kuwa ni vyema kuwe na picha za kuonyesha hali halisi ilivokuwa mahospitalini jinsi wananchi walivotaabika.

pili wahoji wananchi wachache wakiwamo wana jf na recod mawazo yao uyarushe kwenye kipindi,(recorded voice/audio or visual) atleast dk 3 kila mzunguzaji hata dk km mda utakuwa mdogo.

tatu kipindi kiwe ni cha kupendekeza namna ya kuepusha mgomo km huu badala ya kulaumu mamlaka (sugestive style instead of blaming some one)

.........rekebisha spelling ya maneno yako.....sio LEARNED bali ni LEARNT kwa leo ni hayo zaidi tutaendelea kuchangia as ideas come.
 
Back
Top Bottom