Cha duara au pembe nne(square/rectangular)? Huo 'urefu' umekusudia kusema 'kina'?Wadau nimejenga kisima ili nivune maji ya mvua hapa hapa DSM naomba wenye ujuzi wanijuze hivi kisima cha urefu wa futi 14 na upana wa futi 8 kina ujazo wa lita ngap? Asanteni
We Bongolala leo umenichekesha kwelikweli du hapo kwenye red, hapa JF inabidi kuingia taratibu la sivyo utaonekana zumbukuku ,umenikumbusha nilipokuwa sekondari jamaa walivyokuwa wanazipiga chenga hesabu ,utawsikia uansheria hauna hesabu,mweh kumbe hesabu ni kitu chochote ,hesabu ni maisha.Jamani inabidi hata watoto wetu tujitahidi kuwazoesha wapende somo la hisabati,hilo ndio somo mama wa masomo yoteWaliokimbia hesabu shuleni utawajua tuu!
asalalee jamani mbona mnazidi kunivunja mbavu jamani eee mbavu zangu tuh tuh tuh,naloli mbombo ngafu nkamuKisima kinajengwa au kuchimbwa, mbombo ngafu jamaa sio tu hesabu!
waliokimbia hesabu shuleni utawajua tuu!
Mbona vipimo havijakamilika?, ili upate volume lazima uwe na urefu x upana x kimo. Wewe hujatupa kimo, tutapataje volume?. Kweli hesabu ni somo gumu.