Vipima joto vya ITV

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Huwa najiuriza baada ya itv kupata zile comment katika vile vipima joto majibu yake huwa yanapelekwa wapi(kwa watendaji gani na kwa hatua gani?)
au ni kuwa sumbua watanzania tu na kama ni hivyo basi ni wizi watu wnatumia vocher kujibu
wana JF hili limekaaje?
 
hiyo mbona inaeleweka kwamba ni biashara,
ndo maana majibu kwa maswali yao yapo wazi,
kama una akili timamu huwezi kuchangia,,,,
 
Anaetunga maswali nina shaka na utimamu wa upstairs yake
OTIS
 
hoja huwa zinakusanywa na kutafuta moja yenye uzito zaidi na kuifanyia majadiliano kwenye kipindi chao cha kipima joto, na kipindi kwa kawaida si kibaya huwa kinabamba kutokana na mada ya siku hiyo.....upo hapo? vitu vingine muwe mnafanya udadisi,
 
Ni kweli kabisa anayetunga hizo leading questions zao ni kilaza kweli kweki!
 
Mara nyingi anauliza majibu, mf je mawingu kuwa mazito unadhani mvua itanyesha? Wakati dalili ya mvua ni mawingu. Huwa wananishefua sana
 
Back
Top Bottom