Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
ndio gia yenu hiyo siku hizi, unamvalisha pete halafu baadaye unamtosa.
...la hasha, nilishapita huko na kuoa 'ukweli ukweli' (baada ya kuzidiwa)
Haha babu wewe utakuwa player si bure! Una mshindilia na msumari wa ndoa na unanunua pete ya cubic zirconia....
... dah, unajua mpaka 'mali ghafi' wanayotengenezea! ha ha aaa.. usikute gharama yake (uki bargain) haizidi shs 999.99/=!