Vipi tena huko Ndugumbi nasikia polisi wanapiga mafundi garage risasi? Salama

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Kuna habari nimeisikia hapa Clouds kwamba polisi wanawapiga mafundi garage risasi kuwataka wahame ndugumbi, kuna usalama huko?
 
kwani hujui tanzania? ccm wamelewa na madaraka sasa wameamua kupiga na kuuwa tuu. waganga wa kiwete sasa wanataka kafara na hiyo ndiyo stail ya kutoa kafara sii unajua nchi yetu yaongozwa kwa vibuyu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom