Vipi Naweza kutengeneza coctail ya konyagi?

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
weekend hii nitapata ugeni sasa nimeamuwa nitengeze coctail kwa kutumia konyagi ,jee yupo mtu atake weza kunisaidia vipi naweza kutengeneza coctail
 
chukua kipande majani 2 ya mchunga, moja la gligilani ama mchai chai ponda kidogo kama mara 5, then weka kipande cha limau na ice cubes
mwisho mwagia Konyagi ni coctail moja nzuri sanaaa.

jaribu and waiting for the outcome.
 
Mkuu Bowbow !kwanza nakupa shukurani nyingi kwa mchango wako wa coctail wageni wangu walifurahi sana na kuniuliza ni vipi nilifanya ,wakanitaka niwandikie na wakanihakikishia wakirudi kwao wataijaribu katika Bar za kwao na kama itapendwa kama walivyo ipenda wao kuna uwezekana wa something good will come out of it.
 
Back
Top Bottom