Elections 2010 Vipi matokeo Arusha, Kigoma, Mtwara, Rukwa, Tabora?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Wadau mlioko mikoa hii...hebu tupeni habari zinavyoendelea huko...kumekuwa kimya sana
 
A town tutawapatia updates shortly! Kifupi kura za Ubunge na Uraisi CHADEMA imefanya vizuri sana. Udiwani ni kata 9 ndio zinaelekea kwenda kwa CHADEMA kati ya 19. Wacha tupate figures
 
asante sana hii inatia moyo kwa kweli.....
 
Back
Top Bottom