Vipi Makada wa CCM hawashangilii laana za CCM kwa CHADEMA

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
  • ''Chadema wanahubiri mauaji''
  • ''Kumdhalilisha Rais wa nchi''.
  • ''kutaka kuingiza nchi ktk mauaji''
  • ''Chadema ifutwe''
Video kwa hisani ya Dedichijr wa Youtube.
 
Last edited by a moderator:
Na bado tutafanya maandamano kila mkoa hapa Tanzania kwani ni haki yetu kisheria. Tunafanya maandamano ya amani na yenye ujumbe wenye ukweli kwa Watanzania. Kwa maandamano tuliyofanya huko mikoa ya kaskazini tumevunja amani?. Uchafu wao unawekwa wazi wanaona aibu.
 
  • ''Chadema wanahubiri mauaji''
  • ''Kumdhalilisha Rais wa nchi''.
  • ''kutaka kuingiza nchi ktk mauaji''
  • ''Chadema ifutwe''
Video kwa hisani ya Dedichijr wa Youtube.


enzi hizi kuitetea CCM ni kujishushia hadhi sawa na kutembea uchi.

wanaona aibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom