Vipi Kwa Kozi Hiyo.. Kuna Kupata Kazi Hapo? (Certificate Of Liblary And information of Technology)

Mpleke tu hiyo akiwa nayo ndio kianzio hawezi kukosa kazi niko na jamaa yangu kasome hiyo kitu ss anapiga mzigo poa tu
 
:biggrin1: inaelekea anakukera maana unavoliiongelea hapo....kwanini asiendelee mpaka form 6? au ikibidi na zaidi?

Dah!Samahani Mkuu!
Umenishudia Tofauti,Simaanishi Kukerwa!

Matokeo Yake Hayaruhusu kuendelea Na O level
Kwani Ana C Mbili Na D mbili!
Vilevile Hataki Kulisiti!
Nazani Nimeeleweka Mkuu!
Ahsante!
 
Mpleke tu hiyo akiwa nayo ndio kianzio hawezi kukosa kazi niko na jamaa yangu kasome hiyo kitu ss anapiga mzigo poa tu

Kwa Ushauri Wako, Ni Kweli Kabisa Ndugu Yangu,japo Kidogo Itampa Nafasi Ya Kusonga Zaidi!
Ahsante Sana!
 
Ulitakiwa usikitike, kwani tayari ushapata competitor kwe interview.

Teh... Teh... Teh..!
Eti Wa Interview!!?
Ushindani Unajenga Umakini,Cha Muhimu Ni Njia Tu!
Umenifanya Nicheke...Ahsante Mkuu!
 
Back
Top Bottom