Vipi kuhusu taarifa za video ?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Katika mabadiliko mapya nataka kuwepo na uwezo wa kutuwezesha wachangiaji kupost clips za video hasa kuhusu masuala fulani fulani badala ya kueleza tu hii itafanya mjadala kuwa moto moto ndani ya JF

Hapa naongelea masuala ya siasa,tunaweza kubuni mbinu kwani hapo JF wapo mabingwa wa IT fanyeni ima kwani picha za video zinaleta uhalisia wa jambo mfano ebu fungua hapa uone wenzetu wa voice of africa wanavyofanya tena hapa bongo

gonga hapa ujonee mwenyewe mambo
 
Back
Top Bottom