Vipi kuhusu simu za mezani inawezekana?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Kuna bosi hapa sasa kazidi, kwani ana tabia ya kufunga simu ya mezani (ttcl land line) kisa eti tusipige. Naye utumia pin kufungulia . Je kuna mtu mwenye master key ili atusaidie ?
 
ninaweza lakini itakuja kukupa matatizo kwani bill itakuwa kubwa na watatress watagundua namba zilizopigwa alafu mbona mitandao yote wamepunguza bei sana
 
Wakuu naomba kuuliza swali la ufahamu. Hivi ukiwa na line ya mobili phone ya TTCL ukiipiga TTCL land line gharama inakuwaje?. Hii ni kwa sababu Kampuni ni moja ila tofauti ni kati ya mobile na land line usage.
Hii ni kwa sababu nina matumizi mengi sana ya Land line sasa nataka kuamua kununua land line au TTCL mobile phone. Naomba ushauri wenu.
 
kwa uzoefu wangu nunua ttcl land line ni sawa na bure
 
Mwambie na huyo boss wako aache mambo ya before Uhuru.

mkuu kubania muhimu ukizingatia bili analipa yy ebu fikiria mtu akipiga land line kwenda gsm nisikilizie bill yake si mchezo ukizingatia waswahili wakishajua cha bure
 
@drphone: mkuu ila hata kama ni hivyo ila limitations zisiwe zile za kuweka password. Imagine imetokea emergency ghafla hapo ofisini na ni simu ya landline tu ndiyo ambayo unaweza uka-call, je hapo itakuwaje na simu ya mezani ni locked? Inabidi tuangalie na upande wa risk taking pia siyo tunaangalia upande wa reducing costs na making profit tu.
 
ninaweza lakini itakuja kukupa matatizo kwani bill itakuwa kubwa na watatress watagundua namba zilizopigwa alafu mbona mitandao yote wamepunguza bei sana

DR PHONE BWANA
Ebu eleza kama unajua kama hujui sema vile vie sio dhambi kuwa dr phone usijue ku crack pin ya landline.
 
Bado nimesubiri msaada wenu wana jf. Reply hizi hazijakidhi matakwa yangu.
 
Bado nimesubiri msaada wenu wana jf. Reply hizi hazijakidhi matakwa yangu.

Mkuu, inaelekea wewe ndiye uliye sababisha hiyo simu ikawekewa lock... Hakuna sababu ya kuangaika kutafuta pini ya kufungulia, kanunue landline yako na uje uichomeke.

Ila kumbuka kama ni ile pin ya kukuwezesha kupiga sahau kuhusu hilo, ile pin ipo kwenye database za TTCL

Hivyo anayeweza ku-access hiyo simu ni yule tu aliyeweka hiyo pin, maana hata ukienda sehemu ya kubadilisha wanakutaka uingize kwanza pin ya zamani...

Ushauri: tafuta crack ya kuweza kuscan brain ya boss wako ambayo itakuwezesha kujua ni pin code gani ameweka.. Zaidi ya hapo unapoteza time yako tu.
 
Back
Top Bottom