Vipi kuhusu Dowans?

fifi

Member
Nov 1, 2010
7
0
Kisheria ni halali walipwe? Kama si halali kuandamana ni muhimu kupinga huo ubadhirifu. Tunaandamana baada ya Dowans kulipwa au kabla?
 
DOWANS ni ya wakubwa kaka! Kwa umbeya uliopo ni kwamba Tanesco sasa wako hoi tayari wameanza kukusanya Bil 94 ili kumlipa dowans hata kabla ya mahakama kuu kuisajili award yao toka kwa ICC. Kisheria dowans wanatakiwa kulipwa baada ya ile award kusajiliwa na Mahakama kuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom