Vipi huyu mtoto anajifunza kitu gani hapo?

Mkuu Mzizimkavu naomba nisijibu somo analopata mjukuu wangu hapa. Huyu alifaa akikua awe kama yule shehe anayebwabwaja na neema za wanawake wanene. Inaonekana wazazi wake walimu expose kwenye mavituz na totoz before time. Acha nipige usingizi mkuu tutatouch base sometimes next time.
 
Mkuu Father of All Bora mjukuu wako awe sheikh anayebwabwaja kutaka haki yake atendewa kiuhalali kuliko Mjukuu wako awe mlevi kama huyu mtoto anayejifunza akisha kuwa mkubwa itakuwa balaa na si unajuwa mji wa Dar ulivyo ? ukilewa ukianguka watu wanakugeuza mtu Mke!!!!!!!!!! Mdondo........
 
Mkuu umenikumbusha mdondo au mande wakati ule. Wakifanya hivyo watakwisha kwa sababu miwaya nje nje huko kwa akina al shabaab wa kibongo wakiongozwa na Ponda Pondwa anayepondwa huko lupango sasa. Sijui kama hatatokea na ujazo.
 
Mkuu Father of All usicheze na sheikh Ponda wafuasi wake wakikusikia watakukata kichwa chako shauri yako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wao hawana vichwa au mimi siwezi kuwakata vichwa? Huyu ponda mwenyewe nasikia mrundi aliyezamia Kigoma na kujifanya mbongo wakati siyo.
 
416844_327652950666809_2000384353_n.jpg

samuwea ini tz
 
mabig haya, huyo kijana aliyesokota nywele mashallah! kajaaaliwa
 
Back
Top Bottom