Vipi hili la HESLB?

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Kwanza niwape pole wale wote wenye vigezo na wamekosa mkopo.Usumbufu wa heslb kwa wanafunzi ni mkubwa na wamebadilisha dhana ya "LOAN" inakuwa "SCHOLARSHIP" kwa makusudi au kwa kutojua.Nirudi kwenye hoja yangu,waziri wa elimu akiongea na waandishi wa habari mapema septemba mjini Dodoma,alisema utaratibu mpya wa utoaji wa mikopo ni kwa ajili ya wanafunzi wapya tu. Cha kushangaza baadhi ya vyuo ninavyovifahamu, mfano RUCO,continueing students fedha zao zinapelekwa chuoni kwa awamu na wanasaini.Je bodi wanakaidi tamko la waziri na kumdharirisha kwa kauli yake au kuna nini nyuma??AHSANTENI.
 
Back
Top Bottom