Vipi hapo CHADEMA

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
The domain chadema.net may be for sale. Click here for details.

cdm-net.jpg
 
chadema mpo wapi, mlitakiwa block all extensions, kwa kuwa website ya chadema inatumia extension ya .or.tz walitakiwa nunua pia extension za .com .net .org .info .........n.k ili pasiwe na mtu wa kuzitumia tena.
 
Mkuu kuna haja gani ya kununua kitu ambacho hukitumii??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom