Vipi hali za kina Mwakyembe, Zitto na Mwandosya?

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Watz wenzangu,
Naomba kujua hali za hawa wabunge wetu, je, wamesharudi tanzania wote au bado wako matibabuni? Na vipi hali zao maana imekuwa kimya sana hatupati updates zao mara ya mwisho nilisikia Zitti alitarajiwa kufaniwa OP na Mwakyembe mara ya mwisho nilisikia aliahidi akirudi atakuja kupasua jipu, Mandosya yeye ndo sina habari zake kabisa.
Naomba mnijuze wale amabo mna habari mpya zinazowahusu hawa watu..
 
zitoo anaperuzi jf humu ,,anaendelea vizuri sana

mwakyembe huruusiwi kuingia alimolazwa ila unaweza kumuona kupita vioo vinavyozunguka chumba chake...hali yake ni mbaya sana....

mwandosya eshafanyiwa upasuaji mwingine tena ....hali yake hairidhishi
 
afadhali umemjibu hivyo..ila na wa mwanzo ungesema ukweli ameshahamia india moja kwa moja..post kama hizi ndio hazina maana kwa taifa letu,badala tu discuss maisha ya wananchi ya kila siku tuaanza kujadili hali za watu...Ndio tunakubali ni wagonjwa na tunawaombea wapone haraka...eh mungu waponye wenzetu. Lakini sio tu discuss afya zao humu huo ni udhalilishaji.
 
Usiwe MJINGA WEWE,kutaka kujua hali za afya ya viongozi sidhani kama ni kosa.
 
Kitu kama muda unaenda bila kupata feedback yoyote bila kupata habari za hawa jamaaaa
 
Usiwe MJINGA WEWE,kutaka kujua hali za afya ya viongozi sidhani kama ni kosa.

Nani kakwambia kujua habari za viongozi ni kosa..!umeelewa hoja yangu au umekurupuka tu huko maana ndio mnaoshabikia habari zisizo na msaada wowoet kama hii, Nikueleweshe issue sio kujadili hali za watu humu...habari za ugonjwa zitatolewa na watu husika ikiwa ni ndugu,madaktari na viongozi wahusika wa habari wa vyama vay viongozi hao. Sasa kuleta habari nyingi humu za waliopo kitandani tena kila mtu anasema analojua mbaya zaidi ni afya ya binadamu wenzako wee unaona inamaana?. Unjaua idadi ya viongozi wanaoumwa wewe shv?ni hao hao u waliotajwa???je kila kiongozi anayeumwa akija kuwa discussed humu ina tija gani????Mjinga nafikiri ni wewe fikiri kabla hauja na porojo zako humu
 
Back
Top Bottom