Vipi airtel?

MAMU35

Member
Feb 6, 2011
63
6
Jamani wakuu nilikuwa natumia moderm ya airtel nikawa napata mb400 kwa sh.2500. Lakini hivi karibuni nilinunua line nyingine kwa ajili ya moderm lakini nilipotaka kujiunga na bandle ya mb400 kw shs.2500 nimekuta ipo bundle ya 150m kwa shilingi.2500. Nimeshindwa kuelewa hivi ile bundle ya mb400 haipo tena kwa shilingi 2500?
 
tumia line ya zamani utaendelea kupata mb 400 wanadai km line inashindwa kununua mb400 kwa sh 2500 ndio basi,kuna jamaa yangu nilimjaribia ikashindikana nilivyowapigia walinipa majibu hayo hapo juu
 
Airtel naona kuna tabu hata line zao za simu kwa dual sim zinaonekana hafifu sana. Mara ipo hewani mara inapotea inafufuka.
 
Back
Top Bottom