MI NILIDHANI HAmTAKi na Mtawakataza. Hapa ndo Mtajua Nyie wanafiki na Njaa zinawasumbuaCha ajabu huo ukarani wenyewe hawapati wanapewa wakristo tu.
Sensa, Walimu, Mafao wafanyakazi, mikopo elimu ya juu, wese, mfumuko wa bei, gharama za maisha. Nchi inaenda vizuri hali ni ya amani na utulivu
Shossi,
Umeadimika sana mkuu.
kwa hiyo maagizo ya mufti simba yamepuuzwa nini..
Hizo fedha walizotumia kutengeneza vipeperushi kwanini wasiboreshe shule zao? au wasitengeneze vipeperushi vya kuhamasisha watoto wapelekwe shule? Haya ni matumizi mabaya ya akili na fedha!
Lengo la sensa ni kwamba serikali kujua idadi kamili ya watu hili iweze kuwahudumia vizuri(kupeleka huduma za jamii),lkn cha kustaajabisha hapahapa dsm tu umeme sehemu nyingine haujafika,shule hakuna mwanafunzi anatembea km 10,hospital hakuna mtu anaenda kijiji kingine kutibiwa,wamam wanajifungulia nyumbani,madawa hakuna,barabara hazipitiki,not tarmac,vumbi makorongo mtindo m1,maji hakuna,Sasa kuna faida gani ya kuhesabiwa wakati serikali hawatimizi lengo la sensa? Naungana na waiislamu na mie sitohesabiwa nishawaambia jirani zangu kwamba mie nahesabiwa mkoani kwetu khyo wakija watu wa sensa wasiniweke kabisa!
NJOONI MUWATOE WAISLAM WENZENU KWENYE MAKARATASI YA KUHESABIA SENSA KWANZA. Ndo Tutajua kuwa NYIE mtagoma na mtasusia SENSA
LA SIVYO NI KELELE TU Mnapiga.
Ndo huu uwezo wa ki-madrasa unaowadumaza sana ndugu zangu, mimi nimesema hivi wewe unajibu vile ni heri usinge ni-quote ingeleta maana kidogo kwamba unaanzisha sub-topic, kwa taarifa yako uwezo huu wa kujibu hoja ndiyo unaowafanya muwe mnafeli sana shule alafu mnalia eti mpewe upendeleo maalumu kama ilivyo kwa wanawake na watoto katika maswala ya tiba.
Nipo mkuu nimeona comment ya Chadema kuisema dini ilhali ina viongozi wake nashindwa kuelewa kuna uhusiano gani kati ya asasi hizi mbili. Halafu watu wakisema kuwa kuna uhusiano members wanakuja juu na kusema mbona Zitto mwislamu?
Kama Zitto mwislamu ameshawahi kusema kero ya waislamu bungeni kama alivyofanya Lisu kwa wakristo wa Zenji? Amefanya kwa maslahi ya chama au yake binafsi?
Katika jamii yetu haya ndiyo majitu yenye fikra duni kabisa na ndiyo yanayoturudisha nyuma...
hayawi hayawi yamekuwa. tayari vipeperushi , vijarida vimeanza kusambazwa kwa wingi miskiti na sehemu, vituo vyadaladala na sehemu nyegine zinazowataka waislam kususia sensa kwa kuwa wamedaharuliwa madai yao.
wanadai kamwe hawaogopi na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watendaji eti watachukuliwa hatua.
Wanasema siku hiyo itakuwa ya Maandamano
SOURCE: ANNUR