Vipeperushi, fulana za kususia sensa kwa waislam zasambazwa

Status
Not open for further replies.
Mbona hili suala ninyi wakristo linawauma sana kulikoni? kwani waislam wakigoma kuhesabiwa nyinyi WAANGILIKANA kinachowawasha ni nini?
 
Mimi si muislam,sijawahi kufikria kuwa,lakini hoja yao ya kukataa kuhesabiwa kwangu ni hoja ya msingi sana,tumekuwa tukihesabiwa kila baada ya miaka kumi,swali la msingi hapa ni kujadili faida tulizopata kama matokeo ya sensa,miundombinu ya maji,hospitali,shule,mahakama ni vilevile hazijabadilika,kama ni mabadiliko ni kupaka rangi,je takwinu wanazopata ni kwa faida gani?angalia mji wa shy,kigoma,mwanza nk miundombinu ya 1961 mpaka sasa..waislam tusiwalaumu kukataa kuhesabiwa
 
Nadhani wanatumia idadi yetu kuombea misaada nje ambayo ikifika wanaipiga pasu na kuzirudisha kwenye mabank huku huko walikoomba basi.
 
Watoto Wenu Waliomaliza Form Four na Six na wamejazana huku na Wanapiga Magoti kuomba UKARANI na Wananchi kibao. Majina Yapo

HAPA NDO NAONA HAWA WENZETU WANAFIKI. Wanakataa SENSA lakini PESA ZA SENSA WANATAKA... Watoeni Kwanza Wakina HASSAN,HUSSEIN n.k huku kwanza

Cha ajabu huo ukarani wenyewe hawapati wanapewa wakristo tu.
 
duh kweli naye huyu kakasirika angalia anachojibu,dah kafiri(mpingaji) utamjua tu
Ndo huu uwezo wa ki-madrasa unaowadumaza sana ndugu zangu, mimi nimesema hivi wewe unajibu vile ni heri usinge ni-quote ingeleta maana kidogo kwamba unaanzisha sub-topic, kwa taarifa yako uwezo huu wa kujibu hoja ndiyo unaowafanya muwe mnafeli sana shule alafu mnalia eti mpewe upendeleo maalumu kama ilivyo kwa wanawake na watoto katika maswala ya tiba.
 
Ni suala ambalo linaweza kuleta mvutano na mwisho wake usiwe mzuri lakini kukata mzizi wa fitina hata kama siungi mkono kuweka kipengere cha dini kwenye sensa lakini ingependeza kama kingewekwa na wakati huohuo Waislamu wafanye sensa yao misikitini ili kulinganisha takwimu ( za serikali Vs Msikitini) kwani imani ya mfumo kristo inaweza kuibuka kama namba ya wakristo itaonekana ni kubwa. Ni nani atasimamia sensa hadi ikakubalika na kundi linalolalamika (waislamu)?
 
Ndg zangu,mi si muislam ipo dini yangu ninayoiamini,kinachonifanya niandike ni tetesi za mgomo wao kususia sensa,sijaelewa madai yao hasa ni yapi na kama ni ya msingi hasa kwa ustawi wa taifa,naunga mkono hoja ya kugomea sensa mwaka huu,Hoja ya msingi si kuwatukana waislamu bali kujadili umuhimu na faida ya sensa zilizopita,kwanini miundombinu,huduma za jamii ziko vilevile tangu uhuru wakati serikali inatambua ongezeko kubwa la watu?hospitali,mahakama,shule,mabomba ya maji sehemu kubwa yalijengwa na wakoloni ama mapema wakati wa uhuru wakikadiria idadi ya watu enzi hizo,mbona mpaka leo ni ovyo?wananchi mathalani wa kijiji cha bulyanhulu kahama,mita 800 kutoka mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu hawana maji wala zahanati,unataka kuniambia kuwa hawa nao hawajawahi kuhesabiwa sensa zilizopita?nao wakigoma waitwe ni waislam?mimi ni mkiristo mlokole wa E.A.G.T sina uhusiano na uislam hata chembe,lakini kwa hili nawaunga mkono.SENSA kama haziwezi kusaidia watu haina haja,LABDA kwasababu ni wengine wanasema sensa huwa ni mradi wa wachache.
 
Mimi si muislam,sijawahi kufikria kuwa,lakini hoja yao ya kukataa kuhesabiwa kwangu ni hoja ya msingi sana,tumekuwa tukihesabiwa kila baada ya miaka kumi,swali la msingi hapa ni kujadili faida tulizopata kama matokeo ya sensa,miundombinu ya maji,hospitali,shule,mahakama ni vilevile hazijabadilika,kama ni mabadiliko ni kupaka rangi,je takwinu wanazopata ni kwa faida gani?angalia mji wa shy,kigoma,mwanza nk miundombinu ya 1961 mpaka sasa..waislam tusiwalaumu kukataa kuhesabiwa

Kwahiyo Mkigoma Ndo Mtaletewa Maendeleo...
 
Hivi kwa nini wasihesabiane misikitini?? Wasifikiri kuuwa akina Said, Abdalah, Asha ua akina Mwajuma wote ni waislamu. Waislamu wako miskitini hoyo kujua idadi yao siyo shida. Tena mwezi wa Ramadhani ni rahisi zaidi kwa vile wengi huwa wanahudhuria swala.
 
Govt has lost all credibiity, anything to undermine serekali hii goes ,including FUNGENI MILANGO SENSA WANAKUJA.
 
Hivi hizo T-shirt mmeshawapatia JK, Dr. Bilal, Dr. Shein, IGP Said Mwema, ACP Suleiman Kova, 1st VP Maalim Shariff Hamad, Hajart Mrisho (Mkurugenzi wa Sensa) etc?
 
Hivi hizo T-shirt mmeshawapatia JK, Dr. Bilal, Dr. Shein, IGP Said Mwema, ACP Suleiman Kova, 1st VP Maalim Shariff Hamad, Hajart Mrisho (Mkurugenzi wa Sensa) etc?

Watachinjwa chinjwa na Waislam wenzao....... Waislam wanawagomea Waislam Wenzao

Mtagoma ila SENSA itafanyika na Waislam watahesabiwa. Take my words
 
Nina wazo kuwa, hizi pesa ambazo mnatumia kununa na kuprint fulana kwanini msingezitumia kuendeleza shule zenu japo madawati na vitabu hata kwa shule moja tu? kwanini msingeboresha misikiti yenu ambayo mingi imejichokea sana? Ni wazo tu lakini pia mngefikiria mara mbili
486421_163099473826444_371008836_n.jpg

hayawi hayawi yamekuwa. tayari vipeperushi , vijarida vimeanza kusambazwa kwa wingi miskiti na sehemu, vituo vyadaladala na sehemu nyegine zinazowataka waislam kususia sensa kwa kuwa wamedaharuliwa madai yao.
wanadai kamwe hawaogopi na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watendaji eti watachukuliwa hatua.
Wanasema siku hiyo itakuwa ya Maandamano

SOURCE: ANNUR
 
WANAFIKI HAO. Majina yao Yamejaa huku kuomba UKARANI wa Kuhesabu sensa... Mbona hawahubiri Watu wasichukue Nafasi hizo.

Ni HERI mdhambi Anayetembea UCHI kuliko anayejifanya mwema amevaa NGUO.

Mimi nilisha vidharau hivi vishkaji vingi ni vinafiki tuu
 
Waende zao kule hakuna kuwasikiliza mara nyingi wamekuwa na vimadai vya kitoto sana, nadhani hii inatokana na uwezo mdogo wa kufikiri waliojaaliwa kwa kuwekeza nguvu nyingi kwa watoto kuwapeleka madrasa badala ya Madarasa ya elimu Dunia
Walio Waislam Mungu kawajaalia uwezo mdogo wa kufikiri lakini wale walio Wakristo Mungu kawajaalia uwezo mkubwa wa kufikiri na ndiyo maana Viongozi wao wakubwa wa dini kama Askofu Gine Robinson wanageuzwa (PUNGA)na bado wanaendelea kutoa misa Makanisani!
 
NJOONI MUWATOE WAISLAM WENZENU KWENYE MAKARATASI YA KUHESABIA SENSA KWANZA. Ndo Tutajua kuwa NYIE mtagoma na mtasusia SENSA

LA SIVYO NI KELELE TU Mnapiga.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom