Vipeperushi, fulana za kususia sensa kwa waislam zasambazwa

Status
Not open for further replies.

Nal

Member
Jul 28, 2012
51
3
486421_163099473826444_371008836_n.jpg

hayawi hayawi yamekuwa. tayari vipeperushi , vijarida vimeanza kusambazwa kwa wingi miskiti na sehemu, vituo vyadaladala na sehemu nyegine zinazowataka waislam kususia sensa kwa kuwa wamedaharuliwa madai yao.
wanadai kamwe hawaogopi na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watendaji eti watachukuliwa hatua.
Wanasema siku hiyo itakuwa ya Maandamano

SOURCE: ANNUR
 
Sensa, Walimu, Mafao wafanyakazi, mikopo elimu ya juu, wese, mfumuko wa bei, gharama za maisha. Nchi inaenda vizuri hali ni ya amani na utulivu
 
Sensa, Walimu, Mafao wafanyakazi, mikopo elimu ya juu, wese, mfumuko wa bei, gharama za maisha. Nchi inaenda vizuri hali ni ya amani na utulivu

Rushwa nyumbani kwa bibi KIROBOTO
 
486421_163099473826444_371008836_n.jpg

hayawi hayawi yamekuwa. tayari vipeperushi , vijarida vimeanza kusambazwa kwa wingi miskiti na sehemu, vituo vyadaladala na sehemu nyegine zinazowataka waislam kususia sensa kwa kuwa wamedaharuliwa madai yao.
wanadai kamwe hawaogopi na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watendaji eti watachukuliwa hatua.
Wanasema siku hiyo itakuwa ya Maandamano

SOURCE: ANNUR

Waende zao kule hakuna kuwasikiliza mara nyingi wamekuwa na vimadai vya kitoto sana, nadhani hii inatokana na uwezo mdogo wa kufikiri waliojaaliwa kwa kuwekeza nguvu nyingi kwa watoto kuwapeleka madrasa badala ya Madarasa ya elimu Dunia
 
Hizo hela wangejigharamia mahakama ya kadhi,kwenye vitu vya kijinga hela wanazo.
 
Jamani waislamu wananifurahisha sana. Nchi hii wote tukiwa na misimamo ya ndg zangu hawa na kwa mambo ya maendeleo, tungefika mbali. Tunaomba watusaidi na kwenye kampeni za kusaidia walimu na madaktari ili matakwa yao yakubaliwe na kutimizwa na serikali.
 
Mtume hauagiza kuwe na sensa kwa hivo itakuwa ni haramu kuhesabiwa

akili finyu kabisa juzi pinda alivyosema zanzizabar waislam ni asilimia 99 mlipiga kelele na kuhoji data hizo ametoa wapi, sasa sensa ingeweka wazi hilo ajabu wakiristo wote mmeungana na serikali kupinga kuwepo dodoso la dini. Waislam wanafikiria mbali.
 
WANAFIKI HAO. Majina yao Yamejaa huku kuomba UKARANI wa Kuhesabu sensa... Mbona hawahubiri Watu wasichukue Nafasi hizo.

Ni HERI mdhambi Anayetembea UCHI kuliko anayejifanya mwema amevaa NGUO.
 
inatakiwa ikionekana mtu amevaa t-shirt kama hii akamatwe halafu ichomwe akiwa ameivaa
 
Ninyi waislam punguzeni munkari jamani sasa jk leo sijui yuko chungu ngapi cha swaumu? Halafu mnamshika pabaya mnataka afuturu.Mambo yanakuwa magumu kwa jk km UGONJWA wa MALARIA dawa za kila aina mara Mseto,Alu n.k lakini problem as...
 
WANAFIKI HAO. Majina yao Yamejaa huku kuomba UKARANI wa Kuhesabu sensa... Mbona hawahubiri Watu wasichukue Nafasi hizo.

Ni HERI mdhambi Anayetembea UCHI kuliko anayejifanya mwema amevaa NGUO.

waache vijana wachukue kazi hizo ndio tunawategemea kutupa jinsi serikali itakavyodondokea pua kwenye hiyo sensa yenye mizengwe.
 
486421_163099473826444_371008836_n.jpg

hayawi hayawi yamekuwa. tayari vipeperushi , vijarida vimeanza kusambazwa kwa wingi miskiti na sehemu, vituo vyadaladala na sehemu nyegine zinazowataka waislam kususia sensa kwa kuwa wamedaharuliwa madai yao.
wanadai kamwe hawaogopi na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watendaji eti watachukuliwa hatua.
Wanasema siku hiyo itakuwa ya Maandamano

SOURCE: ANNUR

kwa hiyo maagizo ya mufti simba yamepuuzwa nini..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom