Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Kwa ushauri wangu,ningekushauri uwe unanyoa katika saloon moja au mbili yaani usiwe unanyoa katika saloon nyingi sana. Na ili vipungue kuna sabuni inaitwa ''Kopacabana black spot soap'' ni nzuri. Inauzwa katika maduka ya cosmetics(vipodozi). Ni sabuni nzuri unatakiwa uwe unaitumia kunawa nayo kila asubuhi na jioni. Jambo jingine muhimu ni kuacha kuchonga nyuma.

Ila kwa ushauri zaidi waone madaktari bingwa wa ngozi.

Asante kwa ushauri wako mkuu, ngoja nifanye mpango wa kuonana na madaktari wa ngozi. Kuhusu kuchonga nyuma, huwa sichongi kabisa.

Asante kwa ushauri wako mkuu, ngoja nifanye mpango wa kuonana na madaktari wa ngozi. Kuhusu kuchonga nyuma, huwa sichongi kabisa.

Pole mshikaji. Mimi pia nina tatizo hilo ila kuna epidem cream imenisaidia sana. Pia kuna coaltar moja nadhan inaitwa polycoaltar ipo kwenye phamasi. Pole sana

pole mshikaji. Mimi pia nina tatizo hilo ila kuna epidem cream imenisaidia sana. Pia kuna coaltar moja nadhan inaitwa polycoaltar ipo kwenye phamasi. Pole sana

Mkuu hizi epidem cream si nasikia zinafanya uwe mweupe? Hebu nipe uzoefu wako mkuu, wewe haijabadilisha rangi ya ngozi yako?

mkuu hizi epidem cream si nasikia zinafanya uwe mweupe? Hebu nipe uzoefu wako mkuu, wewe haijabadilisha rangi ya ngozi yako?

Siyo rahisi kubadili kwan unatumia kama mara mbili kwa wiki vikipungua then once.

Asante kwa ushauri wako mkuu! Mungu akinisaidia vikapona basi ntaleta ushuuda hapa jamvini.

Tafuta jiwe kama chumvi linaitwa Shabu ni dawa pia ya kusafishia maji ya kunywa,kama umewahi kunyoa kwa wahindi ni lile jiwe jeupe wanalochovya kwenye maji na kupaka baada ya kukunyoa ndevu au kuchonga na kabla ya kukupaka after shave, hiyo mwisho wa tatizo la vipele vyote kidevuni/kisogoni.

Kuanzia sasa ntakuwa nanunua wembe naenda chini ya mtui nanyolewa. Mbona wamasai wanaweza na hawapati haya...aaaaaggghhhh nimechoshwa na kuona watu wanateseka. Na take precaution mapema

Kwepa kuchonga baada ya kunyoa, unawezekana ukawa na 'aleji' na chuma etc

kwepa kuchonga baada ya kunyoa...unawezekana ukawa na 'aleji' na chuma etc

Ushauri mwingine ni kwamba usiparamie madawa na kuyatumia bila consultation kutoka kwa specialist, kuna jamaa yangu yuko Atown yalishamkuta ya kumkuta kwani amenyonyoka nywele katika sehemu kubwa ya kichwa chake kwa ajili ya dawa mchanganyiki za kutibu ugonjwa kama wakwako.

JF DCTORS;

naomba msaada wenu, mimi nina vipele flani kisogoni, ni vile ambavyo watu wengi huwtoka wakati wakinyoa kwa wengi hupona baada ya muda mfupi, lakini kwangu haikuwa hivyo vipo mpaka sasa ni mwaka wa tisa na kila siku vinazidi kuongezeka, nmeshawahi kumuona dr. mmoja pale udsm akanambia kuwa haviponi hivyo nisijaribu kuvichezea tu havitakua, nkaona haitoshi nkaenda kairuki kuonana na specialist wa pale nae akanambia haviponi ila kuna dawa yeye anatengeneza ya ku-mix chemicals hiyo anaiuza yeye tsh. Laki tano na unatumia hiyo dawa kwa mda wa miezi sita mpaka mwaka mmoja,kwa uwezo wangu nikawa nmeshindwa kuipata.

Hivi vipele haviumu ila vinanikosesha uhuru na kuniaribia pozi mida flani hivi na kila siku vinaongezeka, nmeshawahi kumuona mtu akiwa na li-nyama likubwa kisogoni ambayo ni baada ya vipele hivi kufikia stage ya mwisho ya ukuaji, naomba msaada wenu jamani hata kwa dawa ya asili

inaweza ikawa
1.fangasi kutoka kwa vinyozi
2.keloid scar
kama uvimbe mkubwa matibabu ni plastic surgery

inaweza ikawa
1.fangasi kutoka kwa vinyozi
2.keloid scar

Hiyo inawezekana mkuu, kule kwetu vijijini ilikuwa ni tatizo la kawaida kwa kuwa tulikuwa tunanyolewa na vinyozi wa nyembe za kawaida na ilikuwa nywele zikianza kuota tu vinapona, mimi mara ya mwisho nilinyoa saloon kwa mashine kabisa, na nilivyovipata nkajua vitapona tu kama kawaida kumbe sio kawaida mpaka leo bado vipo, nnchoogopa zaidi hivi vinakua kwa kasi sikuhizi

Inaitwa Folliculitis nuchae. Mtafute Dr. Mgonda hapo Dar, nadhani huwa na kliniki Aga Khan.

Nilipata vipele hivyo kwa kinyozi. Nilichofanya niliacha kwenda salon, nikanunua vifaa vyangu vya kunyolea nyumbani.

Vipele vilidumu kwa miaka kama 3 au 4 hivi, nilichukuwa mdalasini na asali nakoroga kisha napaka kwa kusugua kwa nguvu jioni baada ya kuoga, vilianza kupungua na baadaye vilitoweka kabisa.

Inaitwa Folliculitis nuchae. Mtafute Dr. Mgonda hapo Dar, nadhani huwa na kliniki Aga Khan.

Kwa mpaka ulikofikia nakushukuru sana, unaweza ukani-pm number yake ya simu ili iwe rahisi zaidi kumpata? tafadhali

Nilipata vipele hivyo kwa kinyozi. Nilichofanya niliacha kwenda salon, nikanunua vifaa vyangu vya kunyolea nyumbani.

Vipele vilidumu kwa miaka kama 3 au 4 hivi, nilichukuwa mdalasini na asali nakoroga kisha napaka kwa kusugua kwa nguvu jioni baada ya kuoga, vilianza kupungua na baadaye vilitoweka kabisa.

nashukuru sana kwa ushauri mkuu, Ya kwako ya kiasili zaidi na ndo ambayo naitaka, kwani za hospital nilishauriwa na watu nitumie dawa mbali mbali vilikuwa kweli vinapungua ila baada ya mda vinaongezeka tena, je kabla ya kufanya hivyo ulipata ushauri kwa mtu kwamba utumie hivyo au wewe mwenyewe tu? Viwango vya vipimo ulivyokuwa unatumia vilikuwaje, yaani ulikuwa unapimaje?

Pole kaka hata mimi nina shida hiyo mwaka wa 10 pia sasa nimeshatumia kila dawa ila vinaisha na kurudi. Vinaharibu pozi hasa hasa hasa

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom