Vipele sehemu za siri za mwanamke, ni ugonjwa au?

aha! uwo utakuwa uchafu. hapo nimezungumza kitaalamu zaidi ukitaka niende deep nitaenda
 
sio mbaya ukaenda deep ili tuelewe zaidi. na unaposema kuwa ni uchafu ni uchafu upi? manake nguo za ndani zinabadilishwa daily na kukoga pia. Please go deep
 
Wahi kwa daktari wa magonjwa ya ngono na ngozi (Dermatovenerologist), otherwise kama una_courage bandika picha hapa tuone nature ya hivyo vipele itasaidia kupata clue ya diagnosis.
 
Mwe kaka/dada yaani unataka abandike picha ya nani hii hapa!!! Mwe basi apeleke kule mambo ya kikubwa mtu akatizame kwa his/her own risk.

Tusitake kuwadhalilisha mama/dada/mpenzi/wake zenu hapa!!!!!! Lo vijisenti acha hizo mkuu.

Hakuna cha courage bali ni maadili na heshima tu mkuu!!! Kule ze uchungu inawezekana but hapa hadharani jamvini kwetu no!!!!!!
 
JF doctor, we request your assistance, please!!! Tunaelekea kusiko.
 
Wahi kwa daktari wa magonjwa ya ngono na ngozi (Dermatovenerologist), otherwise kama una_courage bandika picha hapa tuone nature ya hivyo vipele itasaidia kupata clue ya diagnosis.

Asante sana Visenti, lakini hiyo courage haipo hata ingekuwa ni wewe
 
hivi vipele vinavyopelekea kuharibika kwa sehemu za siri za mwanamke ni ugonjwa au ni kitu gani? Tusaidiane

kuharibika kwa namna gani? harara, chunusi au majipu tuelezee vizuri kuna vipele vya aina nyingi
 
kunatokea vidonda hadi nywele zinaota kwa shida sana! Ningependa uniambie pia hivyo vipele vya aina nyingi ni vipi ili niwe na ufahamu wa kutosha
 
anaweza akashikwa na harara hizo ni za kawaida, vipele kama atanyoa vibaya, na joto siyo zuri kama avae nguo za ndani za pamba ambazo zimepasiwa, na vipele vingine vinasababishwa na pads wakati yuko period.ila amuone daktari vipele vya nje havina shida vitapona tu na atarudi kwenye hali ya kawaida.
 
Asante sana Joyceline, nimekupata sawia. Ingawa kwa daktari kumeendeka san sasa ni mwaka umepita ila matumaini hakuna bado ni usumbufu mkubwa tu! Otherwise thanks alot
 
kaka inaonekana huyo mpenzi wako yupo Serious sana,ina kubidi umpeleke akafanyiwe check up mkuu.dah mbona mademu wa wadau waJF wanasumbuliwa na magonjwa ya hajabu hajabu?
 
Asante sana Joyceline, nimekupata sawia. Ingawa kwa daktari kumeendeka san sasa ni mwaka umepita ila matumaini hakuna bado ni usumbufu mkubwa tu! Otherwise thanks alot
We Sipo na wewe, kila shida demu wako anayo.....vipele, kukutana na bwana wa zamani,si umwache tu?
 
hivi vipele vinavyopelekea kuharibika kwa sehemu za siri za mwanamke ni ugonjwa au ni kitu gani? Tusaidiane

Kawaida hiyo kitu haitakiwi kuwa na vipele; na kama imepelekea kuharibika, bado wauliza kama ni ugonjwa au la!
Ni ugonjwa tena mbaya zaidi ya magonjwa mengine.
Mpeleke afanye vipimo na apate matibabu sahihi.
Pole lakini.
 
Inawezekana ni allergic reactions au hypersensitivity na baadhi ya vitu. Inaweza kuwa kwa nje (ngozi) au ndani kwa maana ya aina ya vyakula anavyokula/kunywa. Ni vema mkaenda kudiscuss na daktari/mtaalamu wa magonjwa ya ngozi (hasa allergies), inaweza kusaidia(Hata kama ni kwa ku rule out kwamba si allergy!).
 
allergic specifically hapo! itakuwa jamaa kabadili aina ya condoms!
 
Mwe kaka/dada yaani unataka abandike picha ya nani hii hapa!!! Mwe basi apeleke kule mambo ya kikubwa mtu akatizame kwa his/her own risk. Tusitake kuwadhalilisha mama/dada/mpenzi/wake zenu hapa!!!!!! Lo vijisenti acha hizo mkuu. Hakuna cha courage bali ni maadili na heshima tu mkuu!!! Kule ze uchungu inawezekana but hapa hadharani jamvini kwetu no!!!!!!

Simaanishi abandike picha ya kiburudisho, ila inawezekana kuchukua picha ya digital kwa kufocus sehemu kidogo iliyoathirika, bila kuonyesha nanihii, picha kama hiyo haiwezi kumdhalilisha au kuonyesha identity yake au jinsia.
 
Back
Top Bottom