vipele kwenye........

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
472
95
mkuu mzizimkavu nisaidie najua uwezo unao na nia unayo yakusaidia jf nina siku kama mbili hiv kuna vipele vimetokea mguuni nikivikuna vinawasha nimepaka dawa bbe lkn haisaidi je mkuu nitumie dawa gani za mitishamba au za hsp na niugonjwa gani huu nawasilisha
 
SAmahani Mkuu DAWA YA SIKIO ndio kwanza ninaiona hii thread ya huyu mkuu.@mareche Dawa ya Vipele chukuwa kitunguu Sumu akitwange mpaka kiwe laini kisha Uchukuwe maji ya moto uoshe sehemu zenye vipele ufanye kama anasugua kwa kutumia hicho kitunguu saumu kwa uwezo wa mungu utapona inshallah.Tumia kisha unipe feedback.
 
Last edited by a moderator:

Mh.Mzizi mkavu,dawa hii inasaidia vipele kisogoni?vinawasha ile mbaya,na vinaongezeka siku hadi siku!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom