Vipara vitatu bungeni.

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Nmekua mfatiliaji si mzuri sana wa bunge,lakin kutokana na kauri ya W.M ya liwalo na liwe nilkua nina hamu sana ya kujua litakalo semwa leo bungeni.katka kuangalia bunge mbele ya meza ya mh. spika wamekaa wazee watatu wenye vipara vilivyo ota kwa style ile ile swali langu ni je?kipara ni mojawapo ya qualification ya kukalia kiti kile?
 
ni qualification ya makatibu wa bunge kuwa na vipara kwa wanaume na manyonyo kwa wanawake
 
Mganaga wa bibi Kiroboto amemwambia akiweka hao makarani hapo mbele yake wenye vipara basi wabunge wote watamuogopa; huo ndio ushirikina wa Kibena!!
 
Back
Top Bottom