VIP makanisani.....

rmashauri kabla hujamwita Mbonea mwongo, tembea uone.

Huu ubishi wako utachokoza mambo mengine ambayo wachungaji wako watakulamu kwa kuyachokoza.

Duniani kote sasa hivi kuna uhuni mkubwa sana unaendelea makanisani kwa sababu ya uongozi wa makanisa mengi kushikwa na watu wenye kupenda fedha na anasa za dunia.

Usitufanye tukamwaga hapa hadharani majina ya makanisa yanayotumika kuendesha biashara haramu.......naomba niishie hapo.

Ujue tu tuna mengi..yanatuumiza sana mioyo...unafiki unakera sana.

Nazima kompyuta nikae chini niugulie maumivu, halafu niamue nirudi jamvini kutoboa siri hadharani au lah!!!!!!TUNA MENGI SANA NA TENA TUNA USHAHIDI WA KUTOSHA!!!!!!!!!

Mtoa mada ameombwa ataje makanisa lakini amekimbia. JF is where we dare to talk openly anaficha nini? Wapi aliambiwa mpaka atoe Tshs. 250,000; ndipo akae kiti cha mbele? Aseme then tumalize ubishi. Vinginevyo nitashikilia msimamo wangu wa kumwita mwongo na mzushi.

Kama wewe unao ushahidi wa hili sema hapa watu wapone. Maana hatutaki unafiki hapa.
 
Nadhani uliyeleta mada hii si Mkristo na kama ni Mkristo - ni Mkristo jina usiyepata hata muda wa kusoma Biblia. Watu uliyowatolea mifano ni Viongozi - Watu wanaopaswa KUHESHIMIWA ndivyo Biblia inavyoagiza - lakini si Biblia tu popote pale wanapokanyaga wanapaswa kupewa ulinzi - maana adui hachagui ni wapi ulipo hivyo lazima walindwe hata wanapokuwa katika kumwabudu MUNGU wao!!. Kwa sababu WAYAHUDI kuna wakati walitaka kumkamata BWANA YESU kwenye sinagogi lakini kwa kuwa yeye alikuwa anajua mawazo ya wanadamu aliwatangulia kabla hawajafanya ubaya maana wakati wake ulikusudiwa ulikuwa haujafika. Acheni kuleta mada zisizo na msingi BANA.

Umetoka nje ya mada. Mtoa mada anazungumzia nafasi maalumu kanisani kutokana na utoaji wa sadaka.
 
Ray B,ushaambiwa makanisa halafu wewe unataja stpeters na stjoseph?mbona hauko serious?Mbonea namaanisha kwa MAMA,DPC,UFUFUO NA UZIMA,GRC na mengine ya aina hiyo.

Natasha nimetaja hayo kwa kuwa na yenyewe yametajwa katika mifano
 
Mnashangaa nini? kama mashoga wanaruhusiwa kuhubiri na wanakaa na ma boyfriend zao seat za mbele mnashangaa wenye pesa na mafisadi kutengewa vitu maalum?

Mafisadi wote wanakimbilia makanisani na bado wachungaji wanawapatia nafasi za kuhubiri unyama wao. Kuna mambo mengi kanisani na bado mtayaona.
 
Back
Top Bottom