Viongozi wetu

mtwana

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
428
140
Laiti kama Viongozi hawa wangekua Hai hadi hii leo basi Zanzibar ingekua zmaaaaaaaaaaaani tushatoka kwenye Muungano usiokua na faidaaaaaaaaaaa
 

Attachments

  • VIONGOZI WETU.jpg
    VIONGOZI WETU.jpg
    22.1 KB · Views: 144
kwani karume hakuwepo na si ndio aliusaini,ita utakavyita karume hakuwa makini kwa hiyo kama ni utapeli karume ndie alitapeliwa.
 
Laiti kama Viongozi hawa wangekua Hai hadi hii leo basi Zanzibar ingekua zmaaaaaaaaaaaani tushatoka kwenye Muungano usiokua na faidaaaaaaaaaaa
Nyie ni wapenda vyabure yaan dezodezo..kila kitu mnalia mnabanwa,usingekuwa huu Muungano mngekuwa mara saba ya Somalia
 
Hivi ni kweli kuwa Muungano ni Tatizo? kwa nani? Hivi individuals wana shida gani na muungano? Sijui labda kwa kuwa mimi napata chakula changu toka shambani na sijaona Muungano ukiniongezea mavuno au kunipunguizia ndiyo maana sielewi shida zilizopo.

Au isije ikawa ni tatizo la watu wengine kutaka madaraka hivyo nasisi wengine Wakulima tunadandia pasipo kujua. Tujihadhari jamani , tusijekutumbukia katika matatizo.
 
Back
Top Bottom