Viongozi wetu wawe wazalendo kama Rais Sata wa Zambia.

ketapala masokula

New Member
Feb 14, 2012
1
1
:flypig:Raisi michael Sata wa zambia ameishukia sekta ya madini nchini humo na kuwambia wakezaji kuwa wazawa wote wenye elimu sawa na wageni walipwe mishahala sawasawa kama haiwezekani basi wageni walipwe sawawa na wazawa.
 
Tofauti kubwa kati ya viongozi wetu na Rais Sata wa Zambia ni kwamba; Sata lazima awe na uzalendo kwa kuwa amechaguliwa na wananchi tofauti na viongozi wetu wanakosa uzalendo kwa kuwa wanawekwa madarakani na mafisadi.
 
Nakuunga mkono, Viongozi wetu wamechaguliwa na TISS, lazima wawajibike kwao. Sisi kuna watu ambao NEC hawakuambiwa na TISS wawathibitishe ndo wenye machungu halisi na nchi yetu na ndo wanawajibika kwetu.
 
:flypig:Raisi michael Sata wa zambia ameishukia sekta ya madini nchini humo na kuwambia wakezaji kuwa wazawa wote wenye elimu sawa na wageni walipwe mishahala sawasawa kama haiwezekani basi wageni walipwe sawawa na wazawa.

Kwa sasa serikali yetu haina kiongozi mwenye uzalendo wa kiwango hicho cha King Cobra.

Mkuu wa kaya yetu anajitahidi kutembeza bakuli tu huko ulkaya hata kama wakimtukana na kumkejeli yeye hajali, kila kukicha anakwea pipa kwenda ulaya kutembeza bakuli wakati rasilimali tulizonazo kama angeweza kuzisimamia, sisi ndio tungekuwa tunatoa misaada kwa wengine!!

Hilo lkitawezekana pale tu tutakapoamua kuubadilisha uongozi wa nchi hii, tukiendelea kukubali kuongozwa na ccm tusitarajie unafuu wowote hata siku moja. Maisha bora kwa kila mtanzania yatawezekana mara tu baada ya kuitimua ccm toka madarakani.
 
Ameshinda Ubingwa Africa

blog_beach_ceremony_cut.jpg

Mwenye Suti ni Kalusha Bwalya they only one who survive the plane Crush 1993
 
Kweli sata ni kiboko ee mwenyezi mungu tuletee na sisi watz mussa aje atutoe huku na kutupeleka nchi ya ahadi
 
Kwa sasa serikali yetu haina kiongozi mwenye uzalendo wa kiwango hicho cha King Cobra.

Mkuu wa kaya yetu anajitahidi kutembeza bakuli tu huko ulkaya hata kama wakimtukana na kumkejeli yeye hajali, kila kukicha anakwea pipa kwenda ulaya kutembeza bakuli wakati rasilimali tulizonazo kama angeweza kuzisimamia, sisi ndio tungekuwa tunatoa misaada kwa wengine!!

Hilo lkitawezekana pale tu tutakapoamua kuubadilisha uongozi wa nchi hii, tukiendelea kukubali kuongozwa na ccm tusitarajie unafuu wowote hata siku moja. Maisha bora kwa kila mtanzania yatawezekana mara tu baada ya kuitimua ccm toka madarakani.
Nisipokwea pipa mtakufa njaa - Dr. J M K
 
kweli Zambia ina kiongozi na sio mtawala! Tanz,tuna watawala na wanyonyaji tu! Na mabepari.tena ni watawala wasiokuwa na uzalendo na nchi yao kama Michael Satta.
 
Back
Top Bottom