Viongozi wetu wataendelea kuvunja katiba mpaka lini?

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatambua tu viongozi wawili waandamizi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar;nao ni Rais wa serikali ya mapinduzi pamoja na waziri kiongozi. Haya marekebisho iliyofanyiwa katiba ya Zanzibar na kuzaa Makamu wawili wa Rais katiba ya muungano haijayatambua bado. Hivyo hao makamu wawili wanapofanya ziara hapa bara na kupewa heshima zote wanazopewa viongozi wa juu wa taifa inafanyika hivyo kwa kutumia katiba ipi? Nijuavyo mimi Rais wetu ameapa kulinda na kutetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wala seyo ile ya Zanzibar. Iweje basi katika suala ili aruhusu mambo yaendeshwe kama kwamba katiba ya Zanzibar iko juu ya ile ya Muungano!
 
Nijuavyo mimi Rais wetu ameapa kulinda na kutetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wala seyo ile ya Zanzibar. Iweje basi katika suala ili aruhusu mambo yaendeshwe kama kwamba katiba ya Zanzibar iko juu ya ile ya Muungano!

Ni rais gani huyo unayemzungumzia?
 
Rais wetu mpendwa ni mpole sana! hata mkeo akimwambia leo nina mgeni akatafute malazi kwa jirani ni sawa kwake!
 
Back
Top Bottom