Viongozi wetu wamependeza!!!

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,575
552
tz-leadersbc.jpg


Wamependeza kwa kweli!
 
Hamna kitu...fisadis tu. Mungu anajua madhambi yao. Dili walizokula kujiwezesha wenyewe badala ya kuiwezesha nchi.
 
Naipongeza Tanzania na najivunia nchi yetu. Pamoja na matatizo mengi tuliyonayo, marais wote (waliohai) wanaweza kukaa pamoja namna hii. Naam, pengine kati ya mengi ya kuchukiza nchini hii hili linaweza kuleta faraja japo kidogo.
 
Waache wapendeze maana kila mbuzi atakula kadr ya urefu wa kamba yake shingoni.
 
Mbona Bonge kabadilishana kifaa chake na Mzee Ruksa nnahisi aliona kitamharibia picha?
 
Aaaaaaaaaaaah waaaaapi! Mbona naona wanaume wako 3, akinamama 2? Kitu ugly face, duh? Duh? Duh? Dudududududududu, eeeh, aha aha ahaaa,yap yap yap, ebanaeeeeeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom